Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwana mfalme George aingia shule ya chekechea

Picha mbili zimetolewa zikimuonyesha Mwana mfalme George akiwa shuleni siku ya kwanza baada yake kujiunga na shule ya chekechea.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Chekechea, shule za msingi waletewa shindano

NA ASIFIWE GEORGE

SHINDANO jipya la ‘Graph Game’ litakalochezwa kwa kutumia simu za mkononi kwa lengo la kuleta tija na mabadiliko na maendeleo katika jamii kwa vizazi vijavyo limezinduliwa nchini.

Shindano hilo litakalowashirikisha watoto kuanzia chekechea hadi shule ya msingi, mwisho wa usajili wake ni Oktoba 22 mwaka huu.

Mkurugenzi wa Kampuni ya simu ya Tigo, Diego Gutierez, ambao ndio waandaaji wa shindano hilo kwa kushirikiana na Taasisi ya Reach for Change, alisema lengo la shindano...

 

9 years ago

Mwananchi

PLACIDIA KAMFINYE : Mwanzilishi wa shule za chekechea Rukwa

Unaweza kuwa na dhamira ya kufanya jambo fulani lenye kuleta manufaa katika jamii lakini husifanikiwe kam auna uthubutu. Hii imedhihika kwa watu wenye wenye uthubutu mara nyingi wamekuwa wakijitoa mhanga kufanya kile walichokidhamiria pasipo kujali changamoto ambazo wanaweza kukutana nazo mbele.

 

11 years ago

Michuzi

Dk. Shein Akutana na Mwana Mfalme wa Japan

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mwana Mfalmewa Japani Prince Akishino alipowasili Ikulu mjini Zanzibar leo akifuatana na Mkewe Princess Akishino na baadae kufanya mazungumzo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)akifuatana na Mwana Mfalmewa Japani Prince Akishino na Mkewe Princess Akishino mara walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza...

 

9 years ago

BBCSwahili

FiFa:Mwana mfalme ataka uchaguzi uharakishwe

Mgombea wa urais katika shirikisho la soka duniani Fifa mwana mfalme Ali Bin al-Hussein anasema kuwa kucheleweshwa kokote kwa uchaguzi wa kumteua mrithi wa Sepp Blatter kutaliyumbisha shirikisho hilo zaidi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwana wa Mfalme ajitosa tena urais FIFA

Mwanamfalme wa Jordan Ali Bin Al-Hussain ametangaza kuwa atasimama kuwania nafasi ya Urasi wa Shirikisho la kandanda duniani FIFA kurithi nafasi ya Rais wa sasa anayestaafu Sepp Blatter.

 

11 years ago

Michuzi

MWANA WA MFALME WA JAPAN NA MKEWE WATEMBELEA MUHIMBILI

Mwana wa Mfalme wa Japan Prince Akishino na mkewe Princess Kiko leo wametembelea Hospitali ya Taifa Muhimbili ili kuona jinsi inavyotoa huduma zake kwa Watanzania. 
Akitoa salamu za pongezi, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Bi. Agnes Mtawa amesema Hospitali imekuwa na uhusiano wa muda mrefu na Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo la JICA katika maeneo mbalimbali ya huduma ikiwemo ujenzi wa maabara maalumu ya watoto, ujenzi wa Kituo cha Maelezo ya Afya Muhimbili...

 

10 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA CHEKECHEA SHULE YA SOUTHERN HIGHLANDS MAFINGA NA SIKU YA WAZAZI

Mkurugenzi mtendaji  wa  Shule za  Southern Highlands Mafinga  Mary  Mungai akishirikiana na mgeni rasmi  kuwalisha  keki wanafunzi wa  shule  hiyo  leo wakati wa mahafali ya  chekechea na siku ya  wazazi.Wanafunzi  wakionyesha  michezo mbali mbali Baadhi ya  wanafunzi wa shule  hiyo  wakifuatilia  michezo mbali mbali.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Mkuu wa shule hiyo pia alitangaza nafasi za masomo kuanzia darasa la kwanza hadi la tatu wanaotokea kiswahili medium schools na la tano pia wakati...

 

10 years ago

Bongo Movies

WASTARA Awa Mgeni Rasmi Kwenye Mahafari ya Shule ya Chekechea

Mwigizaji  na Muongozaji  wa filamu hapa nchini Wastara Juma, Siku ya jana alialikwa kama mgeni  rasmi kwenye mahafari ya shule RUMNA NUSR S iliyopo mlandizi, mkoani  pwani.

“Niliakwa kma mgeni rasmi katika shule ya watoto wadogo RUMNAS NUSR SCHOOL(DAY CARE )iliyopo mlandizi nimefurahia heshima niliyopewa sababu mim pia ni mwenyeji wa mji huo na nilisoma uko lakini kikubwa ni heshima niliyonayo kwa watu wa rika zote na kumheshim kila anayeniheshim na kujua umuhimu wangu nimefurahia pia kuwa...

 

11 years ago

Bongo5

Video ya ‘Mfalme’ ya Mwana FA imeongozwa na Kelvin Bosco, aliyeongoza ‘Asante’ ya AY

Msanii wa Hip Hop, Hamis Mwinjuma aka Mwana FA anatarajia kuachia video ya wimbo wake ‘Mfalme’ aliomshirikisha G-Nako baada ya kushoot video hiyo nchini Kenya. Akiongea na Bongo5, jana, G-Nako, alisema kuwa Mwana FA alikuwa na idea ya video hali ambayo ilisaidia video hiyo kufanyika kwa muda mfupi. “Director ambaye tumefanya naye video ni yule […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani