Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chekechea, shule za msingi waletewa shindano

NA ASIFIWE GEORGE

SHINDANO jipya la ‘Graph Game’ litakalochezwa kwa kutumia simu za mkononi kwa lengo la kuleta tija na mabadiliko na maendeleo katika jamii kwa vizazi vijavyo limezinduliwa nchini.

Shindano hilo litakalowashirikisha watoto kuanzia chekechea hadi shule ya msingi, mwisho wa usajili wake ni Oktoba 22 mwaka huu.

Mkurugenzi wa Kampuni ya simu ya Tigo, Diego Gutierez, ambao ndio waandaaji wa shindano hilo kwa kushirikiana na Taasisi ya Reach for Change, alisema lengo la shindano...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI ASEMA TUMEISHINDA CORONA, SHULE ZA CHEKECHEA,MSINGI MBIONI KUFUNGULIWA

Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
RAIS Dk.John Magufuli amesema kwamba Corona imepungua kwa kiasi kikubwa nchini na hivyo shule za chekechekea na shule za msingi siku za hivi karibuni.
Ametoa kauli hiyo leo Juni 5 Mjini Dodoma wakati akizungumza kwenye Mkutano wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) uliofanyika Uwanja wa Jamhuri na kuhudhuria na viongozi wa ngazi mbalimbali Serikalini pamoja na walimu wa kada zote.
Dk.Magufuli ametumia nafasi hiyo kueleza kuwa anamshukuru Mungu na anawashukuru walimu...

 

5 years ago

CCM Blog

JPM: CORONA IMEISHA TUTAFUNGUA SHULE ZA MSINGI NA CHEKECHEA HIVI KARIBUNI (+VIDEO)


Rais Magufuli leo Dodoma akihutubia Chama cha Walimu “Umekuja ugonjwa wa corona wakawa wanasema kwamba maiti zitazagaa barabarani hasa Afrika, wakageuka watabiri, walishindwa kuelewa kuwa Mungu wetu ana nguvu, tuliomba siku tatu, corona imekwisha, Waziri wa Afya juzi anasema DSM palikuwa na wagonjwa wanne, ila uzushi utatolewa wa kila aina”.“Corona imekwisha ndio maana hata Mabarakoa hakuna hata leo tunaonana tu hapa kawaida, ndio maana nilikuwa namshangaa Spika Ndugai akiwa Bungeni yupo...

 

11 years ago

Michuzi

shule ya chekechea na msingi Blue Tanzanite mkoani manyara yazindua eneo na majengo yake

Shule ya chekechea na msingi ya Blue Tanzanite iliyopo Kata ya Endiamtu, Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, iliyoanzishwa mwaka 2008 na yenye wanafunzi 360, yazindua eneo lake na majengo yake. Mkurugenzi wa shule ya chekechea na msingi Blue Tanzanite iliyopo Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro, Mkoani Manyara, Raphael Alex Ombade  akizungumza kwenye sherehe za shule hiyo.Padri Pastory Kijuu wa Kanisa Katoliki, Parokia ya Bikira Maria Mama wa Rozali Takatifu,...

 

9 years ago

Mwananchi

PLACIDIA KAMFINYE : Mwanzilishi wa shule za chekechea Rukwa

Unaweza kuwa na dhamira ya kufanya jambo fulani lenye kuleta manufaa katika jamii lakini husifanikiwe kam auna uthubutu. Hii imedhihika kwa watu wenye wenye uthubutu mara nyingi wamekuwa wakijitoa mhanga kufanya kile walichokidhamiria pasipo kujali changamoto ambazo wanaweza kukutana nazo mbele.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwana mfalme George aingia shule ya chekechea

Picha mbili zimetolewa zikimuonyesha Mwana mfalme George akiwa shuleni siku ya kwanza baada yake kujiunga na shule ya chekechea.

 

10 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA CHEKECHEA SHULE YA SOUTHERN HIGHLANDS MAFINGA NA SIKU YA WAZAZI

Mkurugenzi mtendaji  wa  Shule za  Southern Highlands Mafinga  Mary  Mungai akishirikiana na mgeni rasmi  kuwalisha  keki wanafunzi wa  shule  hiyo  leo wakati wa mahafali ya  chekechea na siku ya  wazazi.Wanafunzi  wakionyesha  michezo mbali mbali Baadhi ya  wanafunzi wa shule  hiyo  wakifuatilia  michezo mbali mbali.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Mkuu wa shule hiyo pia alitangaza nafasi za masomo kuanzia darasa la kwanza hadi la tatu wanaotokea kiswahili medium schools na la tano pia wakati...

 

10 years ago

Bongo Movies

WASTARA Awa Mgeni Rasmi Kwenye Mahafari ya Shule ya Chekechea

Mwigizaji  na Muongozaji  wa filamu hapa nchini Wastara Juma, Siku ya jana alialikwa kama mgeni  rasmi kwenye mahafari ya shule RUMNA NUSR S iliyopo mlandizi, mkoani  pwani.

“Niliakwa kma mgeni rasmi katika shule ya watoto wadogo RUMNAS NUSR SCHOOL(DAY CARE )iliyopo mlandizi nimefurahia heshima niliyopewa sababu mim pia ni mwenyeji wa mji huo na nilisoma uko lakini kikubwa ni heshima niliyonayo kwa watu wa rika zote na kumheshim kila anayeniheshim na kujua umuhimu wangu nimefurahia pia kuwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mahafali ya tatu ya shule ya awali ya Chekechea ya Ojays Kiddies Zone yafanyika jijini dar

Wahitimu wa shule ya Chekechea ya Ojays Kiddies Zone wakiwa kwenye picha ya pamoja.

Mkurugenzi wa Shule ya Chekechea ya Ojays Kiddies Zone, Bi Usia Nkhoma Ledama akizungumza jambo wakati wa mahafali ya tatu ya shule hiyo.

Mwalimu Debby Ndulla(wa kwanza kushoto) akiwatambulisha walimu wa Shule ya Chekechea ya Ojays Kiddies Zone ambao ni Mwalimu Tatu(wa pili kutoka kushoto) akifuatiwa na Mwalimu Revina(katikati), Mwalimu Doroth(wa pili kutoka kulia) pamoja na Mwalimu Aika(kulia).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani