RAIS MAGUFULI ASEMA TUMEISHINDA CORONA, SHULE ZA CHEKECHEA,MSINGI MBIONI KUFUNGULIWA
Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
RAIS Dk.John Magufuli amesema kwamba Corona imepungua kwa kiasi kikubwa nchini na hivyo shule za chekechekea na shule za msingi siku za hivi karibuni.
Ametoa kauli hiyo leo Juni 5 Mjini Dodoma wakati akizungumza kwenye Mkutano wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) uliofanyika Uwanja wa Jamhuri na kuhudhuria na viongozi wa ngazi mbalimbali Serikalini pamoja na walimu wa kada zote.
Dk.Magufuli ametumia nafasi hiyo kueleza kuwa anamshukuru Mungu na anawashukuru walimu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogRAIS MAGUFULI ATANGAZA KUFUNGULIWA SHULE ZOTE ZILIZOKUWA ZIMEFUNGWA KISA CORONA, JUNI, 29, 2020
Rais Magufuli ametoa kauli hiyo leo Jumanne June 16, 2020 wakati akilihutubia Bunge kabla ya kulifunga ili kupisha mchakato wa uchaguzi wa Rais, Bunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Octoba Mwaka huu
Amesema hali ya Corona nchini inaendelea vizuri na imepungua sana
“Kutokana na mwendendo wa corona kuendelea kuwa mzuri, corona imepungua sana, naomba nitangaze...
5 years ago
CCM BlogJPM: CORONA IMEISHA TUTAFUNGUA SHULE ZA MSINGI NA CHEKECHEA HIVI KARIBUNI (+VIDEO)
Rais Magufuli leo Dodoma akihutubia Chama cha Walimu “Umekuja ugonjwa wa corona wakawa wanasema kwamba maiti zitazagaa barabarani hasa Afrika, wakageuka watabiri, walishindwa kuelewa kuwa Mungu wetu ana nguvu, tuliomba siku tatu, corona imekwisha, Waziri wa Afya juzi anasema DSM palikuwa na wagonjwa wanne, ila uzushi utatolewa wa kila aina”.“Corona imekwisha ndio maana hata Mabarakoa hakuna hata leo tunaonana tu hapa kawaida, ndio maana nilikuwa namshangaa Spika Ndugai akiwa Bungeni yupo...
9 years ago
Mtanzania29 Sep
Chekechea, shule za msingi waletewa shindano
NA ASIFIWE GEORGE
SHINDANO jipya la ‘Graph Game’ litakalochezwa kwa kutumia simu za mkononi kwa lengo la kuleta tija na mabadiliko na maendeleo katika jamii kwa vizazi vijavyo limezinduliwa nchini.
Shindano hilo litakalowashirikisha watoto kuanzia chekechea hadi shule ya msingi, mwisho wa usajili wake ni Oktoba 22 mwaka huu.
Mkurugenzi wa Kampuni ya simu ya Tigo, Diego Gutierez, ambao ndio waandaaji wa shindano hilo kwa kushirikiana na Taasisi ya Reach for Change, alisema lengo la shindano...
5 years ago
BBCSwahili21 May
Virusi vya Corona: Rais Magufuli atangaza vyuo vikuu kufunguliwa Juni 1
11 years ago
Michuzishule ya chekechea na msingi Blue Tanzanite mkoani manyara yazindua eneo na majengo yake
5 years ago
BBCSwahili07 Jun
Virusi vya corona: Rais Magufuli asema ana imani ugonjwa wa corona umeondolewa kwa nguvu za Mwenyezi Mungu
5 years ago
CCM Blog5 years ago
BBCSwahili22 Apr
Virusi vya corona: 'Kila anayekufa sio mgonjwa wa corona' asema Magufuli
5 years ago
BBCSwahili12 May
Virusi vya corona: Itakua ni ''uendawazimu'' kuendesha uchaguzi wakati wa corona, asema rais wa Uganda