Mwana wa Raila Odinga hatimaye azikwa
Maelfu ya waombolezaji walifika katika chuo kikuu cha jaramogi Oginga Odinga siku ya jumamosi kwa mazishi ya mwana wa Raila.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili04 Jan
Mwana wa Raila Odinga afariki
5 years ago
BBCSwahili25 Jun
Raila Odinga afanyiwa upasuaji baada ya kuugua mgongo, Kaka wa Raila Odinga athibitisha
10 years ago
GPLRAIS UHURU KENYATTA AHANI MSIBA WA MTOTO WA RAILA ODINGA, FIDEL ODINGA
10 years ago
VijimamboRaila Odinga atandikwa bakora
Mzee Mdzombo anasemekana kutokuwa timamu kiakiliKiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga amemsamehe mzee aliyempiga bakora katika mkutano wa hadhara wa kisiasa katika jimbo la Kwale Pwani ya Kenya,Mwanamume huyo, Lengo Mdzombo, anayefanya kibarua katika shamba moja Kwale, alikamatwa Jumanne na kufikishwa mahakamani.
Alishitakiwa kwa kosa la kumshambulia kiongozi huyo pamoja na gavana wa Kwale.Hali ya taharuki ilitanda katika mkutano wa hadhara Jumatatu wiki hii baada ya Mdzombo kwenda...
10 years ago
BBCSwahili30 Sep
Raila Odinga ashambuliwa kwa kiboko
5 years ago
Kenyans.Co.Ke13 Mar
Coronavirus: Raila Odinga's Urge to Kenyans
10 years ago
Mtanzania05 Jan
Mtoto wa Raila Odinga afariki dunia
NAIROBI KENYA
MTOTO mkubwa wa kiume wa kiongozi wa upinzani wa Muungano wa Cord, Raila Odinga amefariki dunia jana asubuhi katika mazingira yasiyoeleweka.
Mtoto huyo, Fidel Odinga, alikutwa kitandani nyumbani kwake huko Windy Ridge, Karen baada ya kuutumia usiku wa jana na marafiki zake.
Mwili wa mfanyabiashara huyo, ambaye pia ni mwanasiasa kijana ulitarajiwa kupelekwa katika nyumba ya mazishi ya Lee Funeral Home.
Odinga, ambaye yuko eneo la tukio, alithibitisha kifo cha mwanae na kwamba...
10 years ago
TheCitizen12 Jan
OCHIENG': Why Raila Odinga has much to learn from the passing on of his son
10 years ago
Michuzimtoto wa Raila Odinga afariki Dunia leo
Taarifa za awali zilieleza kuwa, Fidel alitoka nyumbani kwake jana usiku kwa lengo la kujumuika na marafiki zake kwa matembezi na burudani za mwisho wa wiki na alirejea nyumbani kwake alfajiri ya leo na haijulikani ni nini kilichosababisha kifo chake.
Maafisa wa Jeshi la Polisi nchini Kenya,wameanzisha uchunguzi kuhusiana na...