Mwanafunzi Shule ya Sekondari Idodi Iringa afariki dunia
Mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Idodi mkoani Iringa amefariki dunia baada ya kupigwa na radi wakati akicheza mpira uwanjani na wanafunzi wenzake.
Radi hiyo pia imejeruhi wanafunzi wengine saba na mwanamke mmoja mkazi wa kijiji cha Idodi aliyekuwa anaokota kuni jirani na uwanja huo kabla mvua iliyoambatana na radi haijaanza kunyesha.
Tukio hilo la Ijumaa ni la pili kwa kipindi cha siku mbili ambapo siku moja kabla, mkazi wa kijiji cha Kibena Iringa vijijini akiwa...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo10 Feb
MOTO WATEKETEZA BWENI LA WASICHANA SHULE YA SEKONDARI IDODI, IRINGA
MOTO mkubwa ambao chanzo chake kinatajwa kuwa ni hitirafu ya umeme umeteketeza bweni la wasichana katika shule ya Sekondari Idodi wilaya ya Iringa mkoani Iringa .Tukio hilo limetokea muda wa saa 4 jana asubuhi wakati wanafunzi wakiwa madarasani wakiendelea na masomo.Kamanda wa jeshi la Zimamoto Mkoani Iringa, Inspekta Kennedy Komba alisema kuwa bweni hilo limeteketea lote na kuunguza mali zilizokuwamo kwenye bweni hilo na chache kuokolewa na wananchi waliowahi kufika eneo la tukio kusaidia...
10 years ago
MichuziPPF YASAIDIA SHULE YA SEKONDARI IDODI-IRINGA MIFUKO 220 YA SARUJI
11 years ago
MichuziMWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BARABARANI JIJINI MBEYA
MWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BARABARANI.
gari ambalo halikuweza kufahamika namba zake za usajili wala jina la dereva wake lilimgonga mtembea kwa miguu mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya msingi mbuyuni aliyetambulika kwa jina la daima faida (08) mkazi wa mbuyuni na kusababisha kifo chake papo hapo. ajali hiyo ilitokea majira ya saa 06:55hrs asubuhi...
10 years ago
Dewji Blog12 Feb
Mkuu wa shule ya sekondari Idodi amkimbia mbunge Chiku Abwao
Mbunge wa viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Iringa, Chiku Abwao akikagua jengo la shule sekondari Idodi lililokumbwa na ajali ya moto.
Mbunge CHIKU ABWAO akiwa katika eneo la nje ya jengo lililoungua
Mbunge wa viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) CHIKU ABWAO alisikitiswa na uongozi wa shule ya sekondari ya idodi kushindwa kumpokea kama mbunge na mama aliyeguswa na ajali ya moto katika shule kwa kuwa alikuwa ameshatoa taarifa...
11 years ago
CloudsFM04 Jul
POLISI AMRUBUNI MWANAFUNZI KUFANYA NAYE MPENZI,AMWACHA CHUMBANI KWAKE,NYUMBA YAKE YAUNGUA MOTO,MWANAFUNZI AFARIKI DUNIA
Wananchi wa Mlangali, Ludewa wakiwa wamekizingira kituo cha polisi Mlangali mara baada ya kuipeleka maiti ya mtoto aliyeteketea kwa moto katika kituo hicho.KIONGOZI wa mbio za mwenge Kitaifa awatuliza wananchi wa Mlangali wilaya ya Ludewa ambao baadhi yao waliandamana kituo cha polisi kushinikiza kutolewa kwa askari polisi aliyedaiwa kusababisha kifo cha mtoto ili auwawe.Kiongozi huyo aliwaomba wananchi wa Mlangali kutokubali kujihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani ikiwa ni pamoja na...
11 years ago
Michuzi28 Jul
SHULE YA SEKONDARI MWEMBETOGWA YA IRINGA YATIMUA WALIMU 'MAFATAKI'
Mwembetogwa, Kevin Mlengule
SHULE ya Sekondari ya Mwembetogwa ya Mjini Iringa imepongezwa na wadau wake baada ya hivikaribuni kuwafukuza kazi walimu wanne wa kiume waliobainika kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi wao wa kike maarufu kama mafataki
“Tunataka shule nyingine ziige mfano wa shule hii, tumefarijika kusikia imechukua uamuzi huo na kwa kufanya hivyo tunaamini shule hiyo itakuwa salama kwa watoto wetu wa kike,” alisema mmoja wa wazazi wenye watoto...
11 years ago
Habarileo08 May
Kada maarufu Chadema Iringa afariki dunia
ALIYEKUWA akiandaliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Iringa Mjini, Gervas Kalolo (52) alitarajiwa kuzikwa jana katika makaburi ya Mtwivilla mjini Iringa. Kalolo alifariki dunia usiku wa kuamkia Jumanne jijini Dar es Salaam, alikokuwa ameenda kwa shughuli zake binafsi.
11 years ago
GPLKATIBU WA CCM MKOA WA IRINGA AFARIKI DUNIA
10 years ago
GPLQ-CHILLAH AHAMAHAMA SHULE, MAMA YAKE AFARIKI DUNIA