Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanamfalme Philip amuoa muigizaji Sweden

Mwanamfalme Prince Carl Philip wa Sweden amemuoa muigizaji nyota na mwanamitindo wa zamani bi Sofia Hellqvist katika harusi ya Kifalme

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Muigizaji Philip Seymour Hoffman afariki

Muigizaji mahiri wa Hollywood na mshindi kwa tuzo ya Oscar- Philip Seymour Hoffman, amefariki kutokana na matumizi ya dawa za kulevya

 

11 years ago

GPL

PETIT MAN AMUOA DADA WA DIAMOND PLATNUMZ

Meneja wa Mirror na wasanii wa Endless Fame, Petit Man (kushoto) akimvalisha pete ya ndoa dada yake na Diamond Platnumz aitwaye Esma usiku wa kuamkia leo. Wanandoa wakiwa katika pozi baada ya kufunga ndoa.…

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI DORA MSECHU AWASILISHA HATI ZAKE ZA UTAMBULISHO KWA MFALME WA SWEDEN, AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO SWEDEN NA KUPOKELEWA KWA SHANGWE

 Balozi mpya wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Dorah Msechu akisindikizwa kuingia kwenye kasri ya Mfalme wa Sweden ili kuwasilisha hati zake za utambulisho.  Balozi mpya wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Dorah Msechu na ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja na Mfalme wa Sweden  kasri ya Mfalme wa Sweden akipofika kuwasilisha hati zake za utambulisho.   Balozi mpya wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Dorah Msechu akipeana mikono na Mfalme wa Sweden baada ya kuwasilisha hati za utambulishoBaada ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanamfalme ahusishwa na unyanyasaji UK

Kasri ya Buckingham imepinga madai kwamba mmoja ya wana wa malkia Mwanamfalme Andrew amekuwa akijihusisha na tabia mbaya

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwanamfalme mahakamani Uhispania

Mwana mfalme Cristina ,mtoto wa mwisho wa kike wa mfalme Juan Carlos anatarajiwa kuhojiwa kuhusiana na kashfa ya ufisadi

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanamfalme wa Uingereza aikashifu FIFA

Mwana wa mfalme wa Uingereza, William ametoa wito kwa shirikisho la soka duniani FIFA kuweka maslahi ya soka mbele ya matamanio ya kibinafsi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwanamfalme wa Saudia amshutumu Trump

Mwanamfalme Alwaleed bin Talal wa Saudi Arabia amemshutumu Donald Trump kwa kupendekeza Waislamu wazuiwe kuingia Marekani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mihadarati:Mwanamfalme wa Saudia akamatwa

Maafisa wa kupambana na matumizi ya mihadarati nchini Lebanon wamekamata ndege ya Saudia iliyokuwa imebeba tani 2 ya mihadarati

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanamfalme kupeana dola bilioni 32

Mwanamfale wa Saudi Arabia Alwaleed Bin Talal amesema anatoa mali yake yote kwa hisani

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani