Mwanamke wa unga jela miaka 20
Anna Gemanist Mboya.
Na Makongoro Oging’
Mrembo wa madawa ya kulevya ‘unga’, Anna Gemanist Mboya mkazi wa Kijitonyama, Kinondoni jijini Dar amefungwa jela miaka 20 na kupigwa faini ya shilingi milioni 148, fedha anazotakiwa kuzilipa mara atakapomaliza kifungo.
Mrembo huyo ambaye ni mfanyabiashara, amefungwa Desemba, Mosi, mwaka huu mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Wilfrida Koroso kwa kosa la kusafirisha madawa ya kulevya.
Kamanda wa Kikosi cha Kupambana na Kudhibiti Madawa ya...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
KIGOGO WA UNGA JELA MIAKA 20, FAINI SHILINGI BILIONI 15
11 years ago
Habarileo20 Mar
Mwanamke aliyemtesa mtoto atupwa jela miaka 3
MWANAMKE mkazi wa Kata ya Iyela jijini hapa, Mwanahawa Nassoro (32) amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela baada ya kupatikana na hatia ya kunyanyasa na kumtesa mtoto. Mwanamke huyo alipandishwa katika Mahakama ya Mwanzo ya Mbeya mjini jana, akikabiliwa na shitaka la kumtesa mtoto, John Paul (3) ambaye ni mtoto wa kaka yake.
10 years ago
GPL
WALIONASWA NA UNGA WASOTA JELA
10 years ago
Mwananchi20 Jun
Mwanamke Mtanzania adakwa na kilo 74 za unga
11 years ago
Habarileo06 Sep
Mwanamke Mtanzania 'adaka' Kenya kwa 'unga’
MWANAMKE raia wa Tanzania, Joyce Mhonja Mosendi (38) anashikiliwa na Polisi kituo cha Isebania Wilaya ya Kurya West nchini Kenya akituhumiwa kukutwa na unga uliokuwa umepakiwa katika pakiti zaidi ya kumi na kuwekwa kwenye ndoo ya plastiki uliovushwa kwa pikipiki kuingia nchini humo kutoka Sirari, upande wa Tanzania.
10 years ago
StarTV03 Nov
Binti wa miaka 15 ahukumiwa jela miaka 8 kwa kuuwa bila kukusudia.
Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam iliyoketi mkoani Morogoro, imemuhukumu kwenda jela miaka nane, Judith Chomile binti mwenye umri wa miaka 15 mwananfunzi wa kidato cha kwanza mara baaada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuua bila ya kukusudia mtoto mwenzake Andrine Mafwere (9)
Akisoma hukumu hiyo jaji Eliezer Fereshi, amesema mahakama imemtia hatiani mshitakiwa huyo kutokana na upelelezi wa kesi hiyo kukamilika na maelezo ya maafisa ustawi wa jamii na maafisa wa huduma za...
5 years ago
Michuzi
Mwanaume (45) atupwa jela miaka 30 kwa kosa la kumwingilia kimapenzi mjukuu wake wa miaka 5
Na Amiri kilagalila,Njombe
Mwanaume mmoja aliejulikana kwa jina la Charles Mwinami (45) mkazi wa kijiji cha Itunduma wilayani Njombe amehukumiwa kwenda jela miaka 30 baada ya kukutwa na hatia ya kumwingilia kimapenzi mjukuu wake mwenye umri wa miaka 5 na kutakiwa kulipa fidia ya shilingi Milioni Kumi kwa mwathirika.
Akisoma kesi no 12 ya 2020 hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya hakimu mkazi mkoani Njombe Hassan Makube amesema mtuhumiwa amekutwa na hatia hiyo baada ya ushahidi wa daktari...
10 years ago
Habarileo03 Nov
Msichana miaka 15 jela miaka 8 kwa kuua
MSICHANA wa miaka 15 (jina limehifadhiwa) amehukumiwa na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kifungo cha miaka minane jela.
11 years ago
GPL
HOSNI MUBARAK JELA MIAKA 3, WANAE MIAKA 4