Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WALIONASWA NA UNGA WASOTA JELA

Na Haruni Sanchawa/Uwazi WATU wawili raia wa kigeni wanashikiliwa na polisi mkoani Lindi baada ya kukamatwa wakiwa na kilo 40 za madawa ya kulevya aina ya Heroine yenye thamani ya shilingi bilioni 2.4, tukio lililotokea Februari 7, mwaka huu.
Miongoni mwa watuhumiwa wa madawa ya kulevya. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, ACP Renatha Mzinga alisema watu hao, Ture Ally (55) raia wa Uganda na Sano Sadick Abobakary (53) wa Guinea...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Mwanamke wa unga jela miaka 20

madawaAnna Gemanist Mboya.

Na Makongoro Oging’
Mrembo wa madawa ya kulevya ‘unga’, Anna Gemanist Mboya mkazi wa Kijitonyama, Kinondoni jijini Dar amefungwa jela miaka 20 na kupigwa faini ya shilingi milioni 148, fedha anazotakiwa kuzilipa mara atakapomaliza kifungo.

Mrembo huyo ambaye ni mfanyabiashara, amefungwa Desemba, Mosi, mwaka huu mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Wilfrida Koroso kwa kosa la kusafirisha madawa ya kulevya.

Kamanda wa Kikosi cha Kupambana na Kudhibiti Madawa ya...

 

9 years ago

GPL

KIGOGO WA UNGA JELA MIAKA 20, FAINI SHILINGI BILIONI 15

Makongoro Oging' KIGOGO wa biashara ya madawa ya kulevya ‘unga’, mkazi wa Kinondoni, Dar, Fred William Chonde amefungwa jela miaka 20 na faini ya shilingi bilioni 15 akitoka baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na unga. Kigogo wa biashara ya madawa ya kulevya ‘unga’, mkazi wa Kinondoni, Dar, Fred William Chonde. Taarifa zilizolifikia gazeti hili na kuthibitishwa na Kamanda wa Kitengo cha Kudhibiti na Kupambana na...

 

9 years ago

Mwananchi

Washtakiwa wizi wa mtandao wasota rumande

Watu watatu wanaokabiliwa na kesi ya wizi wa kimtandao na kujipatia Sh4milioni kwa njia ya udanganyifu, wataendelea kusota rumande hadi Januari 11, mwakani.

 

10 years ago

Mwananchi

Kidato cha sita wasota vituoni

Wanafunzi walioanza mitihani ya Taifa ya kidato cha sita wamekuwa miongoni mwa watu walioathirika na mgomo wa madereva katika maeneo mbalimbali nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Wafanyakazi Tazara wasota kortini kusubiri hukumu

SAKATA la mgomo wa wafanyakazi 1,500 wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), ulioingia katika siku ya sita, limechukua sura mpya baada ya wafanyakazi hao waliofunguliwa kesi katika Mahakama ya Kazi, kusota kwa siku nzima wakisubiri hukumu yao.

 

10 years ago

Habarileo

Mwili wa Msierra Leone aliyeuawa akitoroka wasota Muhimbili

WAKATI mwili wa mtuhumiwa wa dawa za kulevya, Abdul Koroma (33) aliyeuawa wakati akijaribu kutoroka ukiendelea kuhifadhiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Jeshi la Polisi katika Mkoa wa Kipolisi wa Ilala limesema linasubiri kujitokeza kwa ndugu wa marehemu wakati wowote kwa ajili ya kuja kuuchukua mwili huo.

 

11 years ago

Habarileo

Kesi ya walionaswa na kontena la meno ya tembo Jan. 16

UPELELEZI wa kesi ya kukutwa na meno ya tembo yenye thamani ya Sh bilioni 7.5 inayowakabili watu sita waliokamatwa Zanzibar, bado haujakamilika.

 

11 years ago

Habarileo

Polisi Dodoma yataja 15 walionaswa kwa 'ukahaba'

WANAWAKE 15 wametiwa mbaroni mkoani Dodoma kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya ukahaba. Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime juzi watu hao wamekamatwa kufuatia msako uliofanywa mwanzoni mwa wiki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani