Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Washtakiwa wizi wa mtandao wasota rumande

Watu watatu wanaokabiliwa na kesi ya wizi wa kimtandao na kujipatia Sh4milioni kwa njia ya udanganyifu, wataendelea kusota rumande hadi Januari 11, mwakani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Messi na babake washtakiwa kwa wizi

Jaji mmoja nchini Uhispania ameagiza kwamba nyota wa timu ya Barcelona na Argenstina Lionel Messi ,ni sharti ashtakiwe kwa mashtaka ya kuibia mamlaka ya ushuru zaidi ya dola milioni 4.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtandao wa kukuza uasherati washtakiwa

Mtandao wa kuwakutanisha wapendanao na unaowalenga watu walio katika ndoa nchini Ufaransa umeshtumiwa kwa kuvunja sheria.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watuhumiwa wizi wa mtandao mbaroni

JESHI la Polisi Kanda Maalumu jijini Dar es Salaam limewakamata watu wawili wanaojihusisha na mtandao wa uhalifu kwa kutumia teknolojia ya mawasiliano (IT). Watuhumiwa hao Edison Mbekya (27), mkazi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Watuhumiwa kuwa na mtandao wa wizi wa madini

Sakata la wizi wa madini ya Tanzanite ya uzito wa kilogramu 15 yenye thamani ya zaidi ya Sh10 bilioni uliotokea katika Mgodi wa Tanzanite One Mining Limited(TML) hivi karibuni limeendelea kuchukua sura mpya baada ya vigogo wawili ndani ya kampuni hiyo kutajwa kuunda mtandao mpana wa wizi wa madini hayo.

 

10 years ago

Mwananchi

Wizi wa mtandao unavyozigharimu benki duniani

Zile nyakati za wizi wa kutumia bunduki, mapanga au visu sasa zimepitwa na wakati, badala yake, wahalifu sasa wanatumia njia ya mtandao.

 

9 years ago

Mwananchi

Wizi wa mtandao nchini watikisa sekta ya utalii

Wizi na utapeli kwa njia ya mtandao, umeanza kuitikisa mikoa ya Kilimanjaro na Arusha baada ya wahalifu wa kimataifa kuingilia mawasiliano ya baruapepe (emails) za mawakala wa utalii.

 

10 years ago

Michuzi

WIZI WA FEDHA KWA KUTUMIA MTANDAO TISHIO DUNIANI

Jitihada za serikali katika kupambana na uhalifu wa mitandao imeungwa mkono kutokana na baadhi ya vyuo kuanzisha mitaala yenye somo la ulinzi wa  mitandao. Moja ya jitihada za serikali katika kukabiliana na changamoto hiyo ni kupeleka muswada wa kutunga sheria ya uhalifu wa mtandao ya mwaka 2015  katika mkutano wa 19 wa bunge la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambao ulipitishwa na bunge hilo. Taarifa ya waziri wa Mawasiliano , Sayansi na Teknologia , Profesa Makame Mbarawa kuhusu sheria...

 

10 years ago

Ykileo

MAMILIONI YA DOLA YAIBIWA KATIKA MABENKI KUPITIA WIZI MTANDAO

Baada ya kikao kilichofanyika wiki iliyopita chuo kikuu cha Stafford ambapo Rais Obama wa marekani alikutana na wafanya biashara, Wanasheria na wasimamizi washeria kujadili hali ya mtikisiko wa maswala ya usalama mitandao, Inadhihirisha wazi bado kuna safari ndefu kukabiliana na wimbi hili la uhalifu mtandao duniani kote.


Hii ni kutokana na ukweli kwamba Tishio la uhalifu mtandao na utayari wa kukabiliana nao bado kuna kutowiana ipasavyo ingawa jitihada bado ni kubwa kuweza kukabiliana na...

 

10 years ago

Michuzi

RAIA WATATU WA KIGENI WAKAMATWA KWA MAKOSA YA WIZI WA MTANDAO KATIKA MABENKI JIJINI DAR ES SALAAM.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watuhumiwa watatu raia wa kigeni kwa makosa yanayohusiana na wizi wa mtandao kwa lengo la kuiba  katika vyombo vya fedha kama mabenki, maduka ya kubadilishia fedha (Bureau de Change) au kuingilia miamala ya fedha zinazosafirishwa na wateja kutoka nje na ndani ya nchi. 
Polisi wa kikosi Maalum cha kupambana na wizi wa mtandao (Cyber Crime) walipata taarifa za kuaminika kwamba watu hao watatu walikuwa katika mazingira ya kutiliwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani