Mwanamuziki awaudhi Waarabu kwa mavazi
Mwanamuziki wa asili ya Lebanon awa gumzo mitandaoni baada ya kuvaa mavazi ya kuonyesha maungo yake
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania16 Sep
Samatta, Ulimwengu watupwa kwa Waarabu CAF
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
BAADA ya timu ya TP Mazembe (DRC) wanayochezea Watanzania, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu, kutinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, sasa itakuwa na shughuli pevu kufika fainali baada ya kupangiwa Waarabu.
Samatta ndiye aliyekuwa chachu ya Mazembe kufika hatua hiyo baada ya kufunga mabao matatu ‘hat trick’, wakati miamba hiyo ilipoifunga Moghreb Tetouan ya Morocco mabao 5-0 wikiendi iliyopita.
Mabao hayo yalimfanya Samatta kuondoa ukame wa...
10 years ago
Vijimambo03 Nov
MBUNIFU WA MAVAZI WA KIMATAIFA SHERIA NGOWI AFUNIKA KATIKA MAONYESHO YA MAVAZI YA 'MERCEDES BENZ FASHION WEEK AFRICA 2014' NCHINI AFRIKA KUSINI
11 years ago
Tanzania Daima09 Mar
Tunatunga katiba ya Tanzania kwa mavazi ya kimagharibi!
KUNA vihoja vingi ambavyo wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanavifanya kila siku. Kwa ujumla, vikao vya Bunge hilo vimeanza kwa kusuasua. Kulikuwa na uahirishaji wa mara kwa mara ambao...
11 years ago
Tanzania Daima04 Apr
Mbunifu wa mavazi ya watu maarufu aliyejiua kwa madeni
MBUNIFU wa mitindo na mwanamitindo maarufu wa Marekani, L’Wren Scott, alikutwa amefariki dunia nyumbani kwake hivi karibuni. Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi jijini Manhattan, New York, inasema Laura ‘Luann’...
11 years ago
Michuzi28 Jul
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-xPtyBiBFF3c/VEX3WFmZqZI/AAAAAAACR4w/lTpvgLXu5-E/s72-c/IMG_43399519162233.jpeg)
DIAMOND MATATANI KWA KUPANDA JUKWAA LA FIESTA NA MAVAZI YA JWTZ
![](http://2.bp.blogspot.com/-xPtyBiBFF3c/VEX3WFmZqZI/AAAAAAACR4w/lTpvgLXu5-E/s640/IMG_43399519162233.jpeg)
Katika Onyesho hilo lililofanyika kwenye Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, mwishoni mwa wiki iliyopita, pia wasanii kadhaa akiwapo Ney wa Mitego pia walipanda jukwaani na wanenguaji wao wakiwa wametinga mavazi kama hayo aliyotinga Diamond.
Kutokana na tukio hilo, Kamanda wa...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Kipato, mavazi, changamoto kuu kwa uongozi mpya Bongo Movie
JANUARI 5, mwaka huu Klabu ya waigizaji ya Bongo Movie ilifanya uchaguzi wake wa kupata viongozi wapya watakaoiongoza kwa mwaka mzima wa 2014 kama katiba yao inavyotamka. Katika uchaguzi huo...