Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanasheria akosoa muundo Bunge la Katiba

>Mwanasheria maarufu, Profesa Chris Peter Maina ameuponda muundo wa Bunge la Katiba la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kushauri utizamwe upya kabla ya kufanyika kwa kura ya maoni mwakani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

‘Muundo Bunge la Katiba chanzo cha vurugu’

Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu na Waandishi wa Habari umesema muundo wa Bunge Maalumu la Katiba ndio chanzo cha vurugu.

 

10 years ago

Dewji Blog

Yaliyojiri Bunge Maalum la Katiba baada ya Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kutolewa nje ya ukumbi wa Bunge!

PIX 1

Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman akipiga kura leo kwenye ukumbi wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma kupitisha Sura na Ibara za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.

PIX 2

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Yahya Kassim Issa akiomba mwongozo leo Bungeni kwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta kuhusu kitendo cha Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman kuja kupiga kura na kukataa baadhi ya Ibara za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa wakati...

 

10 years ago

Michuzi

Naibu Mwanasheria Mkuu amewasilisha Mahakamani pingamizi la awali dhidi ya kesi ya kuhoji mamlaka ya Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari Said Kubenea

Na Mwene Said wa Blog ya Jamii
NAIBU Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju, leo amewasilisha pingamizi la awali dhidi ya kesi ya kuhoji mamlaka ya  Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma iliyofunguliwa na  Mwandishi wa Habari Said Kubenea dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) kwamba maombi hayo ni batili kisheria na hayawezi kuthibitishwa mahakamani, hivyo yatupiliwe mbali.
Masaju amewasilisha pingamizi hilo akitoa sababu nne, akiitaka mahakama kutupilia mbali maombi yaliyopo...

 

10 years ago

Mwananchi

Muundo wa Bunge la Jamhuri ya Muungano

Wakati Bunge Maalumu la Katiba likiendelea na vikao vya kamati zake, sintofahamu juu ya nini hatima ya mawazo ya wananchi kama yalivyowasilishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba inaendelea kuibuka.

 

10 years ago

Mwananchi

Othman atoa waraka muundo wa Bunge

Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman amelazimika kuandika waraka kuhusu mapendekezo ya kitaalamu na kuyawasilisha mbele ya Kamati Namba 11 baada ya kuibuka malumbano makali kuhusu aina ya muundo wa Bunge unaotakiwa.

 

11 years ago

GPL

KINACHOSUMBUA SI MUUNDO WA SERIKALI BALI AINA GANI YA MUUNDO

NIMSHUKURU Mungu kwa kuweza kunipa uhai leo na kunifanya niweze kuyaandika haya niliyoyakusudia.
Mada kuu kila kona hivi sasa hapa nchini ni muundo gani wa serikali utafaa kufuatwa na nchi yetu.
Hakika kitu kinachosumbua vichwa vya wengi siyo muundo wa serikali, bali ni aina gani ya muundo wa serikali unaoweza kuunusuru muungano huu uliodumu kwa miaka 50. Wapo watu wanaotaka iwepo serikali moja japokuwa hili nina uhakika kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

ADC: Muundo wa utawala utatukosesha Katiba

CHAMA cha Alliance For Democratic Change (ADC) kimesema msuguano wa muundo wa utawala unaondelea sasa unapaswa kumalizwa na wananchi kwa kura ya maoni. Aidha, kimesikitishwa na namna Bunge la Maalumu...

 

11 years ago

Mwananchi

Oluoch: Bunge lianze na suala la muundo wa Muungano

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Ezekiah Olouch amewasilisha kwa Katibu wa Bunge, hoja ya kutaka, Bunge lianze kujadili hoja ya Muundo wa Muungano kabla ya mambo mengine ili kupata mwafaka.

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

 Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa.  Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani