Oluoch: Bunge lianze na suala la muundo wa Muungano
Mjumbe wa Bunge la Katiba, Ezekiah Olouch amewasilisha kwa Katibu wa Bunge, hoja ya kutaka, Bunge lianze kujadili hoja ya Muundo wa Muungano kabla ya mambo mengine ili kupata mwafaka.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi24 Aug
Muundo wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
11 years ago
Tanzania Daima12 Mar
Bunge la Katiba lianze kazi, porojo basi
KWA takriban wiki tatu wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walikuwa kwenye msuguano mkali wa kuandaa kanuni zitakazowasaidia kufanya kazi ya kupitia rasimu ya Katiba. Msuguano huo umesababisha kanuni 2...
11 years ago
Mwananchi23 Apr
Muundo wa Muungano waipasua CWT
11 years ago
Habarileo01 Apr
Muundo Muungano kujulikana Ijumaa
MUUNDO wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeanza kujadiliwa rasmi kupitia Kamati 12 za Bunge Maalumu la Katiba ambazo zinajadili Sura ya Kwanza na ya Sita za rasimu ya Katiba mpya.
11 years ago
Habarileo28 Mar
Kura ya maoni kuamua muundo wa muungano
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Seif Sharif Hamad amesema kura ya maoni ndiyo itakayoamua hatima ya muundo wa muungano uliopo.
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Oluoch: Nilivyoliona Bunge la Katiba
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Ezekiel Oluoch, ni miongoni mwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba aliyetia fora kwa umahiri wake wa kujenga hoja. Huyu ni...
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Oluoch aja na mpya Bunge la Katiba
11 years ago
Tanzania Daima13 Apr
CCM wamejifunza kwa Nyerere muundo wa Muungano peke yake?
IJUMAA iliyopita nilipata nafasi ya kusikiliza japo kwa muda mfupi kinachondelea huko Dodoma kwenye Bunge Maalumu la Katiba. Alikuwa akizungumza mwanamama. Hapana, alikuwa akizungumza kwa kusoma. Alionekana haelewi barabara kile...
10 years ago
Mwananchi28 Aug
Othman atoa waraka muundo wa Bunge