Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kura ya maoni kuamua muundo wa muungano

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Seif Sharif Hamad amesema kura ya maoni ndiyo itakayoamua hatima ya muundo wa muungano uliopo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Maoni ya Kinana juu ya muungano baada ya wananchi wa scotland kupiga kura

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana jana kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Mtongani alitoa maoni yake juu ya kura iliyopigwa na wananchi wa Scotland kuunga mkono Muungano dhidi ya wale waliotaka kujitenga.
Kinana alisema amekuwa akipigiwa simu siku nzima na waandishi wa habari kutaka kusikia maoni yake juu ya kura iliyopigwa Scotland.
Wananchi wa Scotland wamepiga kura na kuunga mkono muungano wa miaka 307 baina ya nchi hiyo na Uingereza katika...

 

10 years ago

Vijimambo

MAONI YA KINANA BAADA YA WANANCHI WA SCOTLAND KUPIGA KURA KUUNGA MKONO MUUNGANO


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana jana kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Mtongani alitoa maoni yake juu ya kura iliyopigwa na wananchi wa Scotland kuunga mkono Muungano dhidi ya wale waliotaka kujitenga.

Kinana alisema amekuwa akipigiwa simu siku nzima na waandishi wa habari kutaka kusikia maoni yake juu ya kura iliyopigwa Scotland.

Wananchi wa Scotland wamepiga kura na kuunga mkono muungano wa miaka 307 baina ya nchi hiyo na Uingereza katika...

 

10 years ago

Michuzi

News alert: Stephen Wasira aongoza kura za maoni Kura ya Maoni CCM-Bunda Mjini

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akishangiliwa na wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda mjini. Matokea yalikuwa hivi:

Stephen Wasira 6, 429Robert Maboto  6, 206Christopher Sanya 1, 140Xavier Rugina 846Simon Odunga 547Magesa Mugeta 446Peres Magiri  385Brian Baraka 263

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akiwashukuru wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda...

 

11 years ago

Habarileo

Muundo Muungano kujulikana Ijumaa

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel SittaMUUNDO wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeanza kujadiliwa rasmi kupitia Kamati 12 za Bunge Maalumu la Katiba ambazo zinajadili Sura ya Kwanza na ya Sita za rasimu ya Katiba mpya.

 

11 years ago

Mwananchi

Muundo wa Muungano waipasua CWT

Msimamo wa Makamu wa Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Honoratha Chitanda kuunga mkono serikali moja ndani ya Bunge Maalumu la Katiba huenda ukamgharimu.

 

10 years ago

Mwananchi

Muundo wa Bunge la Jamhuri ya Muungano

Wakati Bunge Maalumu la Katiba likiendelea na vikao vya kamati zake, sintofahamu juu ya nini hatima ya mawazo ya wananchi kama yalivyowasilishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba inaendelea kuibuka.

 

11 years ago

Mwananchi

Oluoch: Bunge lianze na suala la muundo wa Muungano

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Ezekiah Olouch amewasilisha kwa Katibu wa Bunge, hoja ya kutaka, Bunge lianze kujadili hoja ya Muundo wa Muungano kabla ya mambo mengine ili kupata mwafaka.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM wamejifunza kwa Nyerere muundo wa Muungano peke yake?

IJUMAA iliyopita nilipata nafasi ya kusikiliza japo kwa muda mfupi kinachondelea huko Dodoma kwenye Bunge Maalumu la Katiba. Alikuwa akizungumza mwanamama. Hapana, alikuwa akizungumza kwa kusoma. Alionekana haelewi barabara kile...

 

11 years ago

Mwananchi

Maoni ya wananchi yakipuuzwa, wataikataa kwa kura ya maoni

>Mjumbe wa Bunge la Katiba, Profesa Anna Tibaijuka ametahadharisha kuwa wananchi wanaweza kuikataa Katiba kwenye kura ya maoni kama maoni yao yatawekwa kando.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani