MWANAUME AJIBANDIKA UREMBO KUFANANA NA KIM KARDASHIAN UKISIKIA KEEPING UP WITH THE KARDASHIANS NDIYO HII
Jordan ni kijana mwenye umri wa miaka 23 anashindana kufanana na Kim
Sura huonekana katika baadhi ya majarida maarufu duniani, ana kipindi chake maalum kuhusu maisha yake na familia yake, ana kampuni ya vipodozi na pia ana mamilioni ya dola kwenye akauti zake za benki.
Si mwingine bali ni mwanadada Kim Kardashian ambaye yumo vinywani mwa watu wengi duniani.
Sio ajabu kama kuna mtu angetaka kufanana na yeye. Kutana na kijana Jordan James kutoka Uingereza mwenye umri wa miaka 23 ambaye ari yake...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili19 Dec
Mwanamume ajibandika urembo kufanana na Kim
10 years ago
GPLMWANAMUME AJIONGEZEA UREMBO KUFANANA NA KIM
5 years ago
Showbiz Cheat Sheet27 Mar
Kardashian Fans Think Kourtney and Kim Kardashian are the Most 'Naturally Beautiful' of Their Sisters
5 years ago
Cosmopolitan.Com05 Apr
Kim Kardashian and Kourtney Kardashian Are "Embarrassed" About Their 'KUWTK' Fight
10 years ago
BBCSwahili01 Jun
Kim kardashian ni mjamzito
9 years ago
Mtanzania24 Aug
Kim Kardashian: Tumbo linanisumbua
NEW YORK, Marekani
MKE wa msanii wa hip hop, Kanye West, Kim Kardashian, amesema kwa sasa tumbo lake linaanza kumsumbua kutokana na ujauzito wake wa mtoto mpya.
Kim anatarajia kupata mtoto wa pili huku mtoto wa kwanza akijulikana kwa jina la North, hivyo ujauzito alionao unaelekea mwishoni kupata mtoto wa pili.
“Nguo zangu nyingi kwa sasa zinanibana kutokana na tumbo kuwa kubwa, hiyo ni dalili ya kuwa mtoto anaendelea vizuri.
“Natarajia kuwa na mtoto wa pili muda wowote Mungu akipenda na...
10 years ago
GPLKIM KARDASHIAN AMHAIBISHA MUMEWE