Mwenge wa Uhuru kuwasili Singida na kuzindua miradi ya bilioni 5.9
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk, Parseko Kone akizungumza na waandishi wa habari juu ya ujio wa Mwenge wa Uhuru Mkoani Humo.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida Lianna Hassan akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Singida kuzungumza na waandishi wa habari kuhusiana na ujio wa Mwenge wa Uhuru.
Wajumbe wa Mwenge akiwemo Afisa Utamaduni wa Wilaya ya Manyoni Salum Mkuya, na Afisa Michezo Mkoa wa Singida, Henry Kapera.
Wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Singida wakiwa kwenye kikao.
Wakimbiza...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMWENGE WA UHURU KUWASILI MKOANI SINGIDA,MAANDALIZI YAANZA
10 years ago
Mwananchi01 Sep
Mwenge kuzindua miradi ya mabilioni
11 years ago
Uhuru Newspaper16 Jun
Mwenge kuzindua miradi ya mamilioni wilayani Gairo
NA MWANDISHI WETU, MOROGORO
MIRADI saba yenye thamani ya sh. milioni 510 inatarajiwa kuzinduliwa na kuwekewa mawe ya msingi katika mbio za Mwenge wa Uhuru wilayani Gairo mkoani Morogoro.
Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Khanifa Karamagi alisema hayo juzi wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake.
Alisema Mwenge wa Uhuru utapokewa leo katika mpaka wa Mkoa wa Morogoro na Dodoma ukitokea wilayani Kongwa mkoani Dodoma.
Khanifa alisem kati ya miradi itakayozinduliwa katika wilaya hiyo ni...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-FZraeCs44pk/VYe6N-vU9XI/AAAAAAAHiZI/5EzBPe5eTg4/s72-c/MKUBWA%2BMWENGE.png)
MWENGE KUZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA SH. MILIONI 1.2 MUFINDI
![](http://4.bp.blogspot.com/-FZraeCs44pk/VYe6N-vU9XI/AAAAAAAHiZI/5EzBPe5eTg4/s320/MKUBWA%2BMWENGE.png)
Taarifa ya Ofisi ya habari na mawasiliano ya halmashauri ya Mufindi kwa vyombo vya habari imefafanua kuwa, vyanzo vya fedha zilizotumika kukamilisha miradi hiyo vimegawanyika katika sehemu kuu nne, ambapo...
10 years ago
Dewji Blog15 Jun
Zaidi ya miradi 50 yenye thamani ya Sh. 10.3 Bil. kupitiwa na Mwenge wa uhuru mkoani Morogoro
Na Andrew Chimesela – Morogoro
Mkoa wa Morogoro unatarijia kupokea Mwenge wa Uhuru kutoka Mkoa wa Tanga Juni 15, 2015 ambao utakaopitia miradi ya Maendeleo 51 yenye thamani ya Shilingi 10,367,768,943 za kitanzania.
Ukiwa Mkoani Morogoro, Mwenge wa Uhuru utakimbizwa katika Halmashauri zote saba za Mkoa huo ambazo ni Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero itakayopokea Mwenge kutoka Wilaya ya Kilindi, Halmashauri ya Wilaya ya Gairo na Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro.
Halmashauri nyingine ni...
10 years ago
Dewji Blog29 May
Mwenge wa Uhuru wazindua magari mapya ya kampuni ya Green Waste Pro Ltd yenye thamani ya shilingi Bilioni 1.6
Kiongozi wa Wakimbiza Mwenge Kitaifa, Bw. Juma Khatibu Chum akiwa ameshika Mwenge baada ya kufika mtaa wa Kisutu jijini Dar kwenye uzinduzi wa magari mapya ya kuzoa taka katika manispaa ya Ilala yanayomilikiwa na kampuni ya Green WastePro ltd.(Picha zote na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog).
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akizungumza jambo mara baada ya Mwenge wa Uhuru kufika eneo la Kisutu jijini Dar kwa ajili ya ufunguzi wa Magari ya kisasa ya kuzoa taka.
Kiongozi wa mbio za...
10 years ago
VijimamboMWENGE WA UHURU WAZINDUA MAGARI YA UKUSANYAJI TAKA YA KAMPUNI YA GREEN WASTE PRO LTD YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 1.6
10 years ago
GPLMWENGE WA UHURU WAZINDUA MAGARI YA UKUSANYAJI TAKA YA KAMPUNI YA GREEN WASTE PRO LTD YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 1.6
10 years ago
Dewji Blog18 Apr
World Vision Tanzania yatumia zaidi ya bilioni 5.3 kuboresha miradi ya Afya Singida
Kaimu mkuu wa mkoa wa Singida, Saidi Alli Kamanzi na DC wa wilaya ya Singida, akifungua hafla ya makabidhiano wa mradi wa afya ya mama na mtoto (SUSTAIN-MNCH). Wa kwanza kulia ni mkuu wa wilaya ya Ikungi Gichulu Charles na anayefuatia ni mwakilishi wa mkurugenzi wa shirika la World vision Tanzania, Mary Lema.
Baadhi ya wadau wa afya waliohudhuria hafla ya makabidhiano ya mradi wa afya ya mama na mtoto (SUSTAIN -MNCH) iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Aque Vitae Resort mjini...