Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwenyekiti CCM mkoa kuwania ubunge

JOTO la ubunge katika Jimbo la Iringa Mjini limeanza kupanda baada ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu kuthibitisha kuwania nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu mwakani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mwenyekiti ACT taifa, Anna Mhgwira kuwania ubunge jimbo la Singida mjini

DSC01028

Mwenyekiti wa ACT Wazalendo taifa, Anna Mhgwira, akijitambulisha kuwa ndiye mgombea ubunge jimbo la Singida mjini, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Peoples Club jana (6/8/2015). Mwenyekiti huyo ameahidi endapo atafanikiwa kupata nafasi hiyo,atahakikisha mji unakuwa na viwanja vya kisasa kwa ajili ya wananchi kupumzika.

DSC01050

Kiongozi mkuu wa ATC Wazalendo, Kabwe Zitto, akihutubia baadhi ya wakazi wa mji wa Singida jana (6/8/2015) kwenye uwanja wa Peoples Club.Pamoja na...

 

10 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS: MWENYEKITI WA CCM MKOA ARUSHA NA KATIBU MWENEZI WA MKOA WAJIUZULU NA KUHAMIA CHADEMA

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Mh. Onesmo Nangole na Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Arusha wamejiuzulu nafasi zao zote na kujiunga na chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA.Katibu mwenezi amemtahadharisha katibu mkuu wa CCM, ache kuwaita Watanzania makapi.

ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAARIFA ZAIDI

 

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA UVCCM MKOA WA IRINGA TUMAINI MSOWOYA AWAOMBA WANAWAKE KUJITOKEZA KUWANIA UONGOZI

Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Iringa, Tumaini Msowoya akimkabidhi msaada mmoja kati ya wagonjwa waliolazwa katika Wodi ya watoto kwenye Hospitali ya mkoa, wakati alipotembelea wodi ya watoto 22. Msowoya, akifurahia kumpakata mmoja kati ya watoto waliolazwa katika wodi hiyo.Mwenyekiti wa UVCCM Mkoani Iringa, Tumainia Msowoya, Mwenyekiti wa UVCCM Mkoani Katavi, William Mbongo na Katibu wa UVCCM Wilayani Mufindi, Kantala, wakiteta jambo.
Na Fredy Mgunda, IringaWakati watanzania tunaanzimisha...

 

10 years ago

Dewji Blog

Catherine Magige sasa kuwania ubunge viti maalum UWT mkoa wa Arusha

unnamed

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) kupitia vijana Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige akichukua fomu ya kuwania ubunge viti maalumu kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Arusha, anayemkabidhi ni katibu wa (UWT)mkoa wa Arusha Fatuma Hassan Tsea jana katika ofisi za umoja huo jijini Arusha(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).

unnamed (1)

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) kupitia vijana Mkoa wa Arusha, Mh. Catherine Magige akimkabidhi katibu wa (UWT) mkoa wa Arusha Fatuma Hassan Tsea...

 

9 years ago

Habarileo

CCM yaleta wa zamani 15 kuwania Ubunge

WABUNGE 15 wa zamani ni miongoni mwa wagombea mbalimbali waliopitishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.

 

9 years ago

Mwananchi

9 years ago

GPL

CCM LUDEWA YAMPITISHA NGALAWA KUWANIA UBUNGE

Kada wa CCM, Deo Ngalawa. NGALAWA aliwashinda makada wenzake tisa waliokuwa wakiwania nafasi hiyo kwa kupata kura 537 akifuatiwa na mdogo wa marehemu Filikunjombe, Philip aliyepata kura 501. Makada wengine ni Edgar Lugome, Johnson Mgimba, Emmanuel Mgaya maarufu Masanja Mkandamizaji (19), James Mgaya (72), Jackob Mpangala (3), Evaristo Mtitu (21) na Zephania Chaula (38). ...

 

5 years ago

CCM Blog

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM TANZANIA BARA AZINDUA OFISI YA CCM MKOA WA GEITA

Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Ohilip Mangula akiteta jambo na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanalu Mstaafu Ngemela Lubinga wakati wa uzinduzi wa  jengo la  ofisi ya CCM mkoa wa Geita



15.02.2020
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Ndugu Philip Japhet Mangula amezindua jengo la ofisi ya CCM Mkoani Geita ambalo ni limejengwa na  viongozi wa Chama na Serikali, Wanachama wa CCM pamoja na wadau mbalimbali Mkoani hapo.

Aidha, Ndugu Mangula akiwahutubia wana CCM hao...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kada CCM ajing’oa, kuwania ubunge kupitia Chadema

IMG_20141212_123949

Mapokezi ya Fransico Kimasa Shejamabu (mwenye gwanda) akielekea katika viwanja vya shule ya msingi Pambalu wilayani Sengerema kuhutubia wananchi. (picha zote na Daniel Makaka wa MOblog, Sengerema).

Na Daniel Makaka, Sengerema.

Aliyekuwa kada wa wa Chama cha Mapinduzi CCM wilaya Sengerema mkoani Mwanza  Bw. Fransico Kimasa Shejamabu  ametangaza nia ya kuwania ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)ambacho amejiunga nacho.

Kauli hiyo ameitoa mjini hapa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani