Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM yaleta wa zamani 15 kuwania Ubunge

WABUNGE 15 wa zamani ni miongoni mwa wagombea mbalimbali waliopitishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mwenyekiti CCM mkoa kuwania ubunge

JOTO la ubunge katika Jimbo la Iringa Mjini limeanza kupanda baada ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu kuthibitisha kuwania nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu mwakani.

 

9 years ago

Mwananchi

9 years ago

GPL

CCM LUDEWA YAMPITISHA NGALAWA KUWANIA UBUNGE

Kada wa CCM, Deo Ngalawa. NGALAWA aliwashinda makada wenzake tisa waliokuwa wakiwania nafasi hiyo kwa kupata kura 537 akifuatiwa na mdogo wa marehemu Filikunjombe, Philip aliyepata kura 501. Makada wengine ni Edgar Lugome, Johnson Mgimba, Emmanuel Mgaya maarufu Masanja Mkandamizaji (19), James Mgaya (72), Jackob Mpangala (3), Evaristo Mtitu (21) na Zephania Chaula (38). ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kada CCM ajing’oa, kuwania ubunge kupitia Chadema

IMG_20141212_123949

Mapokezi ya Fransico Kimasa Shejamabu (mwenye gwanda) akielekea katika viwanja vya shule ya msingi Pambalu wilayani Sengerema kuhutubia wananchi. (picha zote na Daniel Makaka wa MOblog, Sengerema).

Na Daniel Makaka, Sengerema.

Aliyekuwa kada wa wa Chama cha Mapinduzi CCM wilaya Sengerema mkoani Mwanza  Bw. Fransico Kimasa Shejamabu  ametangaza nia ya kuwania ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)ambacho amejiunga nacho.

Kauli hiyo ameitoa mjini hapa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mlezi wa Jumuiya ya wazazi CCM Bayi, ajitosa kuwania ubunge

Mlezi wa Jumuiya ya wazazi  wa CCM wilaya ya Bahi, Hebron Kipiko (Mr.Kipiko) katika picha

Mlezi wa Jumuiya ya wazazi  wa CCM wilaya ya bahi  Hebron Kipiko (Mr.Kipiko)  ametangaza rasmi nia ya kugombea ubunge wa jimbo la Bahi lililopo mkoani Dodoma  na kusema kuwa anaamini  anauwezo wa kutekeleza kero na matatizo mbalimbali ya nao wakabili wananachi wa jimbo hilo.

Akizungumza na Libeneke la kaskazini blog ,  amesema kuwa ameona mambo mengi na matatizo mengi yanayo wakabili wananchi wa jimbo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waliokatwa kuwania ubunge, udiwani CCM Singida wakimbilia Chadema

DSC00994

Katibu wa CCM mkoa wa Singida, Mary Maziku,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo kwenye picha) juu ya chama hicho kuhamwa na Mwenyekiti wake wa mkoa, Mgana Izumbe Msindai aliyehamia CHADEMA.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Singida

KURA  za maoni nafasi ya udiwani,ubunge wa viti maalum na ule  wa majimbo CCM  mkoani Singida, zimeacha malalamiko na maumivu mengi,ambayo ni pamoja na kuhamwa na wananchama wake wengi akiwemo Mwenyekiti wake wa mkoa, Mgana Izumbe Msindai na...

 

10 years ago

Michuzi

KADA WA CCM ASSENGA ATANGAZA NIA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KILOMBERO

Kada wa CCM Abubakar Assenga akitangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kilombero, mbele ya ummati wa wananchi waliofurika katika Uwanja wa mpira wa Asante Afrika, Ifakara katika jimbo hilo mkoani Morogoro, jana. Picha na Bashir Nkoromo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani