Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWENYEKITI NA KATIBU WAKE CHADEMA MJINI KIOMBOI WILAYANI IRAMBA WAACHIA NGAZI.

Pichani Kati ni Mwenyekiti wa CHADEMA kata ya Shati,Wilayani Iramba,Bwa Ezekiel Makala  akionesha kadi yake na kutangaza kujiunga na chama cha CCM,kwenye mkutano wa hadahara uliofanyika kwenye stendi ya mabasi ya Kiomboi,wilayani Iramba mkoani Singida,shoto ni Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana na kulia ni Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi na Naibu Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Mwigulu Nchemba wakishuhudia kwa pamoaja.
Kinana ameambatana na Katibu wa NEC Itikad,siasa na Uenezi Nape...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA CHADEMA IRINGA MJINI AINGIA MATATANI TENA, AMTUKANA MWENYEKITI WAKE WA MKOA, ASHITAKIWA

Picha ya Maktaba ikumuonesha Frank Nyalusi (mwenye suti nyeupe) ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Iringa Mjini akiwa chini ya ulinzi wa Polisi
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Iringa Mustapher Msowela amemshitaki mwenyekiti wa chama hicho jimbo la Iringa Mjini, Frank Nyalusi ambaye jana jeshi la Polisi lilifanikiwa kumtia nguvuni kabla ya kuachiwa kwa dhamana.Nyalusi aliyeshitakiwa katika kituo cha Polisi cha kati cha mjini Iringa jana, anatuhumiwa kumtusi...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASILI WILAYANI IRAMBA LEO,AENDELEA NA ZIARA YAKE

 Katibu MKuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Iramba,Mh.Yahaya Nawanda katika kijiji cha Kiselya,wilayani Iramba,mkoani Singida,pichani kati ni Mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi,Mwigulu Nchemba.Kinana ameambatana na Katibu wa NEC Itikad,siasa na Uenezi Nape Nnauye,wakiwa kwenye ziara ya Kukagua kuhimiza na kusukuma miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Chama,kukagua maandalizi ya uchaguzi ya serikali za mitaa,kusikiliza kero za wananchi...

 

10 years ago

Mwananchi

Wenyeviti watatu CCM waachia ngazi

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM), Manispaa ya Bukoba, Chifu Karumuna amebwaga manyanga na kujiunga na Chadema.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Katibu CCK amruka mwenyekiti wake

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Kijamii (CCK), Kassimu Mtalam, amemtaka Mwenyekiti wa chama hicho, Constantine Akitanda, kuacha kutoa matamshi ya upotoshaji kuhusu Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kwani hajatumwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti UVCCM kizimbani kwa kumtwanga makonde katibu wake

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Misungwi, Mkoa wa Mwanza, Mansoor Mohamed (25) amefikishwa Mahakama ya Wilaya kwa tuhuma za shambulio la kudhuru mwili.

 

11 years ago

Michuzi

MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014:FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA, PROFESA ABDALLAH SAFARI MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA BARA

 Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano  mkuu wa chadema Wakicheza kwa furaha muda mfupi baada ya matokeo ya Uchaguzi kwenye Mkutano Mkuu Kutangazwa Usiku huu Freeman Mbowe akiwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA  kwa kumchagua tena kushika nafasi ya mwenyekiti Mshindi wa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akipongezwa na Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa Makamu  Mwenyekiti wa Chadema Bara Profesa Abdallah Safari(Kulia)na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe wakipungia kwa...

 

11 years ago

Michuzi

ZIARA YA KATIBU MKUU YA CCM,NDUGU KINANA YAIBOMOA NGOME YA CHADEMA WILAYANI LUSHOTO.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimpa mkono wa pongezi Ndugu Ismail Semkunde aliyekuwa Mwenyekiti wa Jimbo la Mlalo Chadema na kuamua kurejea CCM. Mzee Julius Kavurai aliyekuwa Katibu wa Jimbo la Mlalo Chadema akiwapungia mkono wananchi kwenye mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye yupo kwenye ziara wilayani Lushoto ya kujenga na kukiimarisha chama pamoja na kuangalia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2010 inavyoendelea. Mzee Charles Kagonji...

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU BARAZA LA VIJANA TAIFA CHADEMA AKABIDHI KADI KWA MWENYEKITI WA KIJIJI

Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana Taifa la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), Julius Mwita (kushoto), akimkabidhi kadi ya chama hicho, Mwenyekiti wa Kijiji cha Udomo Kata ya Uchama Jimbo na Wilaya ya Bukene mkoani Tabora, Julius Lubala, baada ya kurudisha kadi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chadema katika mkutano wa hadhara uliofanyika kijijini hapo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani