MWENYEKITI NGOME YA WANAWAKE ACT WAZALENDO AWAKUMBUSHA AKINA MAMA UMUHIMU WA KUWALINDA WATOTO WASIPATE VIRUSI VYA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-Vckr9tgeweQ/XoHhXRe3I2I/AAAAAAALlhw/HL7-50BuG8cbnrfecfhJVq7YS6no4mY8wCLcBGAsYHQ/s72-c/0.jpg)
Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii
MWENYEKITI wa Ngome ya Wanawake wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa Mkiwa Kimwanga ameikumbusha jamii na hasa ya wanawake wote nchini kuhakikisha wanawalinda watoto na ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na virusi vya Corona.
Pia amesema wanaunga mkono tamko ambalo limetolewa na Kiongozi wa Chama hicho Zitto Kabwe kwa hatua ya kumuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Magufuli kwa kushauri Watanzania kuwa wamoja na kuchukua tahadhari...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo02 Jan
Mwenyekiti ACT-Wazalendo awakumbusha kazi waandishi
ALIYEKUWA mgombea wa Urais kupitia chama cha ACT- Wazalendo, Anna Mghwira amewataka waandishi wa habari mkoani hapa, kutumia taaluma yao kuwaelimisha wazazi au walezi wa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari juu ya athari za utoro shuleni.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-iSxGOQMxuIk/XoICPvdJVXI/AAAAAAALlmo/s8oW70pDx9s9v6J106TdVX7FYxv_8bNGACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-30%2Bat%2B17.27.32.jpeg)
NGOME YA WANAWAKE YA ACT WAZALENDO SASA KAMILI, YATANGAZA SAFU YA VIONGOZI
![](https://1.bp.blogspot.com/-iSxGOQMxuIk/XoICPvdJVXI/AAAAAAALlmo/s8oW70pDx9s9v6J106TdVX7FYxv_8bNGACLcBGAsYHQ/s400/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-30%2Bat%2B17.27.32.jpeg)
NGOME ya Wanawake ya Chama cha ACT Walendo imetangaza safu ya viongozi wake wa idara mbalimbali ndani ya ngome hiyo huku mkakati mkubwa ukiwa ni kuweka mkakati na mipango ambayo itasaidia kufanikisha Chama hicho kushika Dola katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Akizungumza leo Machi 30 mwaka 2020 jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa Ngome hiyo ya Wanawake wa ACT Wazalendo Mkiwa Kimwanga mwenyekiti kwenye uchaguzi wa ndani ya Chama hicho uliofanyika...
5 years ago
BBCSwahili20 May
Virusi vya corona: Kwa nini watoto waliozaliwa na kina mama wa kupanga wamekwama Ukraine?
5 years ago
BBCSwahili21 May
Virusi vya corona: Hospitali ya India iliyoweza kuzalisha watoto 100 kutoka kwa wanawake wenye Covid-19
5 years ago
BBCSwahili06 Apr
Virusi vya corona: Je msaada wa Jack Ma Afrika una umuhimu gani katika kupambana na janga la corona?
5 years ago
BBCSwahili30 Apr
Virusi vya corona: Mama apikia watoto wake mawe kwasababu ya kukosa vibarua alivyokuwa akifanya awali
5 years ago
BBCSwahili26 May
Virusi vya corona: Fahamu umuhimu wa kuwa na kinga bora
9 years ago
Dewji Blog02 Jan
“Vitendo vya utoro na mimba kwa wanafunzi Mkoani Singida havivumilikiâ€- Mwenyekiti wa ACT- Wazalendo Anna Mughwira
Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Taifa, Anna Mughwira, akichangia ajenda zilizokuwa zinatolewa kwenye kikao cha kamati ya maendeleo (RCC) mkoa wa Singida kilichofanyika mjini hapa. Pamoja na mambo mengine, ameviomba vyombo vya habari mkoani, kusaidia kutoa elimu juu ya madhara yanayowapata wanafunzi watoro.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
Mwenyekiti wa chama cha ACT- Wazalendo ,Anna Mughwira amewahimiza waandishi wa habari mkoani hapa, kutumia taaluma yao kuwaelimisha...
5 years ago
BBCSwahili26 Jun
Virusi vya corona: Watoto wengi walioapata corona hawakuonesha dalili