NGOME YA WANAWAKE YA ACT WAZALENDO SASA KAMILI, YATANGAZA SAFU YA VIONGOZI
![](https://1.bp.blogspot.com/-iSxGOQMxuIk/XoICPvdJVXI/AAAAAAALlmo/s8oW70pDx9s9v6J106TdVX7FYxv_8bNGACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-30%2Bat%2B17.27.32.jpeg)
Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya Jamii
NGOME ya Wanawake ya Chama cha ACT Walendo imetangaza safu ya viongozi wake wa idara mbalimbali ndani ya ngome hiyo huku mkakati mkubwa ukiwa ni kuweka mkakati na mipango ambayo itasaidia kufanikisha Chama hicho kushika Dola katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Akizungumza leo Machi 30 mwaka 2020 jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa Ngome hiyo ya Wanawake wa ACT Wazalendo Mkiwa Kimwanga mwenyekiti kwenye uchaguzi wa ndani ya Chama hicho uliofanyika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Vckr9tgeweQ/XoHhXRe3I2I/AAAAAAALlhw/HL7-50BuG8cbnrfecfhJVq7YS6no4mY8wCLcBGAsYHQ/s72-c/0.jpg)
MWENYEKITI NGOME YA WANAWAKE ACT WAZALENDO AWAKUMBUSHA AKINA MAMA UMUHIMU WA KUWALINDA WATOTO WASIPATE VIRUSI VYA CORONA
MWENYEKITI wa Ngome ya Wanawake wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa Mkiwa Kimwanga ameikumbusha jamii na hasa ya wanawake wote nchini kuhakikisha wanawalinda watoto na ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na virusi vya Corona.
Pia amesema wanaunga mkono tamko ambalo limetolewa na Kiongozi wa Chama hicho Zitto Kabwe kwa hatua ya kumuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Magufuli kwa kushauri Watanzania kuwa wamoja na kuchukua tahadhari...
10 years ago
Mtanzania28 May
Zitto awaonya viongozi ACT-Wazalendo
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameionya sekretarieti ya uongozi wa chama hicho na kuitaka kuishi kwa maadili kwa kuzingatia katiba ya chama na kuitekeleza kwa vitendo.
Amesema uadilifu umekuwa ni changamoto kubwa katika nchi hali inayowafanya watanzania washindwe kuaminiana katika masuala mbalimbali.
Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam juzi alipofungua mkutano wa kwanza wa sekretarieti ya uongozi wa chama hicho.
Alisema iwapo watashindwa kuishi...
10 years ago
Dewji Blog16 Apr
Viongozi wa ACT Wazalendo watua mkoani Singida
Kiongozi Mkuu wa ACT wazalendo, Zitto Kabwe, akihutubia mamia ya wanachi wa mji wa Singida na vitongoji vyake jana kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya shule ya msingi Ukombozi mjini Singida. Pamoja na mambo mengine, Zitto ameitaka serikali kubana matajiri ili waweze kuwapa madereva mikataba ya kazi kama njia ya kuwapunguzia msongo wa mawazo unaochangia kusababisha ajali za barabarani.
Mwenyekiti wa ACT wazalendo, Anna Mughwira, akitoa nasaha zake kwenye mkutano wa...
10 years ago
Michuzi![](http://lh3.googleusercontent.com/-mcREKnGvEoQ/VaX5YiUAUYI/AAAAAAAB-2M/Iw96CF1Vcv8/s72-c/blogger-image--1180140963.jpg)
VIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO WAALIKWA UJERUMANI
![](http://lh3.googleusercontent.com/-mcREKnGvEoQ/VaX5YiUAUYI/AAAAAAAB-2M/Iw96CF1Vcv8/s640/blogger-image--1180140963.jpg)
Katika ziara hiyo pamoja na kutembelea die linke party, watapata fursa ya kutembelea ubalozi wa Tanzania nchini Ujerumani na pia watafanya mkutano na watanzania wanaoishi nchini...
10 years ago
VijimamboVIONGOZI WA ACT-WAZALENDO WATINGA NYUMBANI KWA BABA WA TAIFA
10 years ago
Vijimambo30 Mar
Viongozi ACT sasa kutangaza mali zao.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Zitto--30march2015.jpg)
Akihutubia mamia ya wananchi wakati wa uzinduzi wa chama hicho, Zitto alianza kwa kuweka hadharani mali zake mbele ya mwanasheria wa chama na kudai kwa undani zitawekwa kwenye mtandao ili kila mwananchi ajisomee.
Kabla ya kusaini fomu hiyo, Zitto...
10 years ago
Mtanzania17 Apr
ACT yatikisa ngome ya Sitta, Ukawa
Na Bakari Kimwanga, Tabora
CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeviliza vyama vinavyoundwa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), baada ya mamia ya wananchi wa Wilaya ya Urambo kutangaza kujiunga na chama hicho.
Wilaya ya Urambo ina jimbo moja la uchaguzi la Urambo Mashariki ambalo linaongozwa na Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta (CCM).
Nia hiyo ya wana-Urambo ilimfanya Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe kujikuta akibubujikwa na machozi ya furaha, huku kila mara...
10 years ago
Bongo523 Oct
Sauti Sol waibuka ‘Best African Act’ wa MTV EMA, sasa kuwania ‘Worldwide Act’
10 years ago
GPLMWENYEKITI WA CHAMA CHA ACT-TANZANIA AKIPINGA CHAMA CHA ACT-WAZALENDO