Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWENYEKITI WA CHADEMA ANAPOTAMBUA JUHUDI ZA KINANA


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Dewji Blog

VIDEO: Mwenyekiti wa Chadema amkubali Kinana

Mwenyekiti wa serikali ya Kijiji cha Utengule kwa tiketi ya Chadema, Parcras  Mkakatu akisikiliza maelekezo ya Kinana wakati wa mkutano kwenye zahanati ya Kijiji hicho.

 

10 years ago

Michuzi

MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014:FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA, PROFESA ABDALLAH SAFARI MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA BARA

 Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano  mkuu wa chadema Wakicheza kwa furaha muda mfupi baada ya matokeo ya Uchaguzi kwenye Mkutano Mkuu Kutangazwa Usiku huu Freeman Mbowe akiwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA  kwa kumchagua tena kushika nafasi ya mwenyekiti Mshindi wa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akipongezwa na Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa Makamu  Mwenyekiti wa Chadema Bara Profesa Abdallah Safari(Kulia)na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe wakipungia kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA CHADEMA IRINGA MJINI AINGIA MATATANI TENA, AMTUKANA MWENYEKITI WAKE WA MKOA, ASHITAKIWA

Picha ya Maktaba ikumuonesha Frank Nyalusi (mwenye suti nyeupe) ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Iringa Mjini akiwa chini ya ulinzi wa Polisi
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Iringa Mustapher Msowela amemshitaki mwenyekiti wa chama hicho jimbo la Iringa Mjini, Frank Nyalusi ambaye jana jeshi la Polisi lilifanikiwa kumtia nguvuni kabla ya kuachiwa kwa dhamana.Nyalusi aliyeshitakiwa katika kituo cha Polisi cha kati cha mjini Iringa jana, anatuhumiwa kumtusi...

 

9 years ago

Mwananchi

CCM inaunga mkono juhudi za Rais Magufuli -Kinana

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema chama kinaunga mkono utendaji kazi wa Rais John Magufuli, ikiwamo kuhakikisha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) zinasimamia ipasavyo ulipaji wa kodi.

 

11 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA ALAT MKOA WA DODOMA AFURAHISHWA NA JUHUDI ZA TMA KATIKA KUWAPATIA WAKULIMA TAARIFA ZA HALI YA HEWA

Mwenyekiti wa ALAT Mkoa wa Dodoma Mhe: Athuman Mwenda akipata maelezo ya kina jinsi ya uandaaji wa taarifa za hali ya hewa kwa wakulima ili kufanikisha kauli mbiu ya mwaka huu yenye ujumbe wa ‘Matokeo Makubwa Sasa’-Kilimo ni Biashara, vilevile Mamlaka inatekeleza mkakati wa Taifa wa KILIMO KWANZA.Maelezo hayo yalikuwa yakitolewa na kwa Kaimu Mkurugenzi wa Utafiti na Matumizi Dkt. Ladislaus Chang’a katika banda la Mamlaka ya Hali ya Hewa kwenye maonesho ya NaneNane 2014, viwanja vya...

 

10 years ago

Vijimambo

MSUMARI WA MWISHO KWENYE JENEZA WA MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE KUHUSU LOWASA KUHAMIA CHADEMA LIVE!!


"Haukuwa uamuzi rahisi.. Kamati Kuu ilifanya utafiti kwa vikao vingi na mashauriano. Tafiti zilituambia kuwa Edward Lowassa akipeperusha bendera ya Chadema/UKAWA,ndoto ya mabadiliko makubwa nchini itatimia. Kwa Kauli moja, Kamati Kuu iliridhia Edward Lowassa awe mgombea kwa Chadema na baadae tukawauliza wenzetu wa UKAWA kama wanakubali ama kukataa. Wajumbe wote akiwemo Katibu Mkuu Dr W Slaa waliridhia... baadae kuna watu labda wakamshauri vingine... " - Freeman Mbowe.. Mwenyekiti Taifa wa...

 

10 years ago

Michuzi

CHADEMA Red Brigade wala kiapo Mwanza mbele ya Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe

 Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, al maarufu kama RED BRIGADE, wakila kiapo cha utii, mbele ya Mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe, jijini Mwanza siku ya Jumamosi Februari 28, 2015. Kiapo hicho kinafuatia kukamilika kwa mafunzo ya kiulinzi na usalama kwa vijana hao. Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Rwakatare (kulia), akisoma taarifa ya mafunzo ya vijana wa chama hicho 'Red Brigade' huku mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA CCM KALENGA ZATINGA KIJIJI ALICHOZALIWA MGOMBEA WA CHADEMA, MWENYEKITI WA CHADEMA NA WANACHAMA 50 WATIMKIA CCM

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kijiji cha Wangama, Fred Mgata (kulia) akikabidhi kadi za chyama hicho kwa Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga baada ya yeye na wanachama wengine 50 wa Chadema kuamua kukihama na kujiunga CCM katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika  katika Kijiji hicho kilichopo Kata ya Luhota, Iringa Vijijini leo. Mgombea ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chadema ambaye ni mzaliwa wa kijiji hicho,  Grace Tendega alikuwa chini ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani