MWIGIZAJI EMEKA IKE AKIRI KUACHANA NA MKEWE
Emeka Ike akiwa na mkewe  Emma Ike na mmoja wa watoto wao. KWA mujibu wa habari kutoka katika mahakama moja ya kijadi mjini Lagos, Emma Ike,  ambaye ni mke wa mwigizaji maarufu wa filamu wa Nigeria  (Nollywood) Emeka Ike, amefungua kesi ya kutaka talaka kutokana na kipigo cha kila mara kutoka kwa mumewe ambaye wamekuwa naye katika ndoa kwa miaka 13. Akiongea kwa kifupi na waandishi wa habari jijini Abuja...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies23 Feb
Gardner Akanusha Uvumi wa Kuachana Mkewe Jack
Gardner Dibibi ambae ni mume wa mwigizaji wa filamu Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuz’ amekanusha taarifa zilizoenea mtandao na kwenye magazeti ya udaku kuwa ameachana mke wake Jack.
Gardner ameimbia Bongomovies.com kuwa taarifa za yeye kuacha na mkwe wake sio za kweli japo kuwa ni kweli walikuwa natofauti za kawaida na wameshazimaliza na pia amekanusha kuwa hakumpa talaka kama ilivyoripotiwa .
”“Taarifa hizo sio za kweli, sisi tuko pamoja, tulikua na matatizo ya kawaida tu lakini...
10 years ago
BBCSwahili19 Jan
Mume akiri kumchinja mkewe London
9 years ago
Bongo524 Nov
Video: TM Ft. Flavour – Ike
Nigerian born, London based artiste, Tim has released the video to his massicely trending song Ike, TM is about to set the clubs ablaze. IKE is that Dance Hall/Love Song for all party goers and lovers of good music. Flavour also blessed the song with his amazing talent, giving it a different feel entirely. TM is also ready to drop another Hot single back to back in the coming weeks.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari...
10 years ago
BBCIke Uche set for Mexican challenge
10 years ago
Bongo509 Dec
Rapper amuua mkewe na kujiua, mkewe alimsaliti na Trey Songz, Mayweather ashuhudia tukio zima la mauaji!
10 years ago
Vanguard19 Mar
Ambassador Lauds Emeka Offor Foundation's Education Initiative
Ambassador Lauds Emeka Offor Foundation's Education Initiative
Vanguard
The Nigerian High Commissioner to Tanzania, Ambassador Ishaya Majanbu, has commended Sir Emeka Offor Foundation's Education Initiative, following the donation of 22,000 books to schools in Bagamoyo region of Tanzania by the foundation. Over 1,500 ...
5 years ago
BBC13 Feb
Chukwuemeka Ike: The Nigerian king who served Toads for Supper
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Chukwuemeka Ike: Mfalme wa Nigeria mwandishi wa kitabu 'Toads for Supper'
10 years ago
Naija247news12 Mar
Emeka Offor Foundation, partners donate 20000 books to Tanzanian schools
Naija247news
Emeka Offor Foundation, partners donate 20000 books to Tanzanian schools
Naija247news
sir-emeka-offor-founder-seof Sir Emeka Offor Foundation (SEOF) said on Thursday that it has partnered Books for Africa (BFA), a non-profit organisation to donate 20,000 books to various schools in Tanzania. Sir Emeka Offor, the founder of SEOF, said in a ...
Sir Emeka Offor Foundation and Books For Africa (BFA) to Donate 20000 Books ...GlobeNewswire (press release)
all 2