Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWIGULU NCHEMBA AZINDUA HUDUMA MPYA BENKI YA MAENDELEO YA KKKT

Naibu waziri wa fedha, Mwigulu Lameck Nhemba, (Kushoto), akiteta jambo na Mkuu wa Kanisa la Kiluteri la Kiinjili Tanzania, (KKKT), Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, wakati alipozindua huduma mpya ya benki hiyo ijulikanayo kama "MB Mobile". Huduma hiyo itamuwezesha mteja wa benki hiyo inayomilikiwa na KKKT, kuweza kufanya miamala mbalimbali kupitia simu ya mkononi. Miamala hiyo ni kama vile, kuweka fedha, kujua salio kwenye akaunti, kuhamisha fedha toka kwenye akaunti yako, kununua luku,...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AZINDUA BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO NCHINI

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati akizindua benki ya maendeleo ya kilimo Tanzania, kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere, jijini Dar es salaam leo.

 

10 years ago

Vijimambo

VIJANA NCHINI TANZANIA WAMTAJA MWIGULU NCHEMBA KUWA NDIYE RAIS MPYA WANAYEMTEGEMEA,ASIFIKA KWA KUSIMAMIA KIDETE MASLAHI YA NCHI

 Nyota ya Mwigula yazidi kung'ara urais
*Vijana wataka chama chake kimpe nafasi

Claudia Kayombo
WAKATI vyama vya siasa havijatangaza majina ya wagombea urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, vijana mbalimbali wameanza kutoa maoni ya nani anafaa kumrithi Rais Jakaya Kikwete.

Vijana wengi wamesema kuwa, Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba, ndiye anayestahili kumrithi Rais Kikwete kutokana na utendaji wake wa kazi.

Hatua ya vijana kumtaja Nchemba, ni mwendelezo...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AZINDUA BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO TANZANIA (TADB) DAR ES SALAAM LEO

 Rais Jakaya Kikwete (kushoto), akihutubia wakati akizindua Benki ya Maendeleo ya Kilimo Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam leo asubuhi. Kulia ni Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya na Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Stephen Wasira. Rais Kikwete alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa benki hiyo. Uzinduzi wa awamu ya pili wa benki hiyo utafanyika kesho kwenye maonyesho ya Nanenane kitaifa mkoani Lindi.  Rais Jakaya Kikwete, akivuta pazia kuashiria...

 

10 years ago

Michuzi

warsha ya siku moja kujadili mpango mkakati wa Maendeleo wa miaka 25 ya benki ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania yafanyika jijini Dar

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) Thomas Samkyi akizungumza katika warsha juu ya kujadili mpango wa maendeleo wa taasisi hiyo kwa miaka 25 ijayo. Warsha hiyo ilifanyika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency, Dar es Salaam.Mkuu wa Mipango, Sera na Ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Francis Assenga akizungumza na wadau katika mkutano huo.Wadau wa sekta ya kilimo, uvuvi na ufugaji wakifuatilia warsha ya mpango wa maendeleo wa miaka 25 wa benki...

 

11 years ago

Michuzi

VODACOM NA CRDB BENKI WAZINDUA HUDUMA MPYA YA M-PESA

Mkurugenzi wa Huduma Mbadala za Benki wa CRDB Joseph Witts akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya kutoa pesa kwenye M-pesa kupitia ATM za benki bila kuhitaji kuwa na kadi wala akaunti ya beki hiyo. Wengine pichani ni Ofisa Mkuu wa Biashara Mtandao wa Vodacom Jacques Voogt na Meneje Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim. Ofisa Mkuu wa wa Biashara Mtandao wa Vodacom Jacque Voogt akittumia ATM ya Benki ya CRDB kutoa pesa kwenye akaunti ya...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI AZINDUA MPANGO KABAMBE WA MJI MPYA WA KIGAMBONI

 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (Mb), akihutubia wananchi wa Kigamboni katika Uzinduzi wa Mpango Kabambe wa Mji Mpya wa Kigamboni Katika Uwanja wa Tangamano - Mnadani Vijibweni. Wasanii wa kikundi cha Ngoma za kitamaduni wakiburudisha wakati wa Uzinduzi Mpango Kabambe wa Mji Mpya wa Kigamboni.
Picha ya mji mpya wa Kigamboni utakavyokuwa.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

9 years ago

Dewji Blog

Benki ya BOA waletea wateja wake huduma mpya ya kutuma fedha Kimataifa ya ‘WARI’

boa

Mkurugenzi wa ICT , Bw. Willington Munya  akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa utambulisho wa huduma hiyo mpya ya BOA. anayefuatia ni  Meneja wa E.Banking, Bi. Editha Jumbe na wa mwisho ni Afisa masoko Danieli Sarungi. ( Picha na Niccomediatz).

Benk ya BOA Tanzania imeleta huduma mpya kwa wateja wake ijulikanayo kama WARI-huduma ya kutuma fedha kimataifa ambapo kwa sasa huduma hiyo imeingia nchini na mteja anaweza kutuma na kupokea  fedha ndani na nje bila ya kuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani