Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWILI WA ADAM PHILIP KUAMBIANA WATOLEWA MUHIMBILI, KULALA KWAKE BUNJU LEO

Mwili wa Marehemu Adam Kuambiana ukiwa ndani ya gari la kubebea maiti baada ya kuchukuliwa moshwari Muhimbili, unapelekwa nyumbani kwake, Bunju, Dar ambako utalala huko kabla ya kuagwa Viwanja vya Leaders na kuzikwa Kinondoni, kesho. Waombolezaji wakiwa wamelifungua gari la kubebea maiti ili kuweka jeneza lenye mwili wa Adamu Kuambiana leo mchana.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MWILI WA ADAM KUAMBIANA WATOLEWA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI, WAPELEKWA BUNJU B

MWILI wa mwongozaji na mwigizaji wa filamu Bongo, Adam Philip Kuambiana jana ulitolewa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kupelekwa nyumbani kwake Bunju B ambapo uliagwa. Mwili huo leo utaagwa katika Viwanja vya Leaders na baadaye kuzikwa makaburi ya Kinondoni,…

 

11 years ago

GPL

MWILI WA ADAM KUAMBIANA WAAGWA BUNJU B, DAR

Mwili wa Adam Kuambiana ukiandaliwa tayari kwa kuagwa nyumbani kwake Bunju B jioni hii. Waombolezaji wakiwa msibani tayari kuaga mwili. Wa tatu kutoka kulia waliokaa mbele ni mke wa marehemu Janeth Rithe ambaye ni Diwani Kata ya Kunduchi, Dar.…

 

11 years ago

Michuzi

TIMU YA TANZANIA MOVIE TALENTS KUWAKILISHWA NA JAJI SINGLE MTAMBALIKE KATIKA MAZISHI YA MAREHEMU ADAM PHILIP KUAMBIANA

Uongozi wa Kampuni ya Proin Promotions Limited na Timu nzima ya Kampuni ya Proin Promotions Limited ambao ni Waandaaji na waendeshaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents tunapenda kutoa pole zetu za dhati kwa Wazazi wa Marehemu Adam P.Kuambia, Ndugu wa Marehemu , Jamaa, Marafiki kwa ujumla na Rais wa Klabu ya Bongo Movie, Ndugu Steve Nyerere kwa kuondokewa na Mmoja kati ya Wasanii Mahiri kabisa katika tasnia hii ya filamu nchini vilevile tunatoa Pole zetu kwa Wasanii wa sanaa ya Maigizo...

 

11 years ago

GPL

TIMU YA TANZANIA MOVIE TALENTS KUWAKILISHWA NA JAJI SINGLE MTAMBALIKE KATIKA MAZISHI YA MAREHEMU ADAM PHILIP KUAMBIANA‏

Uongozi wa Kampuni ya Proin Promotions Limited na Timu nzima ya Kampuni ya Proin Promotions Limited ambao ni Waandaaji na waendeshaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents tunapenda kutoa pole zetu za dhati kwa Wazazi wa Marehemu Adam P.Kuambia, Ndugu wa Marehemu , Jamaa, Marafiki kwa ujumla na Rais wa Klabu ya Bongo Movie, Ndugu Steve Nyerere kwa kuondokewa na Mmoja kati ya Wasanii Mahiri kabisa katika tasnia hii ya filamu...

 

11 years ago

GPL

MAANDALIZI YA KUAGA MWILI WA ADAM KUAMBIANA VIWANJA VYA LEADERS

Mwili wa marehemu Adam Kuambiana utawekwa mahali hapa. Waombolezaji watakaa mahali hapa.…

 

11 years ago

GPL

MWILI WA KUAMBIANA WAHIFADHIWA MUHIMBILI, VILIO VYATAWALA!

Mwili wa Marehemu Adam Kuambiana ukiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kuhifadhiwa leo mchana. Rais wa Bongo Movies, Steve Nyerere akiwa analia nje ya chumba cha maiti…

 

11 years ago

Bongo Movies

11 years ago

GPL

ADAM KUAMBIANA AZIKWA

Mazishi ya mwongozaji na mwigizaji wa filamu Bongo, Adam Kuambiana yamefanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar. Kabla ya mazishi mwili wa marehemu uliagwa na maelfu katika Viwanja vya Leaders jijini Dar. Mungu ailaze roho ya marehemu, mahali pema peponi.…

 

11 years ago

Michuzi

BURIANI ADAM KUAMBIANA





Adam Kuambiana enzi za uhai wake.
MWIGIZAJI na Muongozaji filamu maarufu Bongo, Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa matibabu alfajiri ya leo. 
Habari zinasema Marehemu alianguka chooni akiwa location katika hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remmy, Dar es salaam . Kabla ya mauti kumfika, Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na tumbo. Globu ya Jamii inaungana na familia ya marehemu, ndugu,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani