Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TIMU YA TANZANIA MOVIE TALENTS KUWAKILISHWA NA JAJI SINGLE MTAMBALIKE KATIKA MAZISHI YA MAREHEMU ADAM PHILIP KUAMBIANA‏

Uongozi wa Kampuni ya Proin Promotions Limited na Timu nzima ya Kampuni ya Proin Promotions Limited ambao ni Waandaaji na waendeshaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents tunapenda kutoa pole zetu za dhati kwa Wazazi wa Marehemu Adam P.Kuambia, Ndugu wa Marehemu , Jamaa, Marafiki kwa ujumla na Rais wa Klabu ya Bongo Movie, Ndugu Steve Nyerere kwa kuondokewa na Mmoja kati ya Wasanii Mahiri kabisa katika tasnia hii ya filamu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TIMU YA TANZANIA MOVIE TALENTS KUWAKILISHWA NA JAJI SINGLE MTAMBALIKE KATIKA MAZISHI YA MAREHEMU ADAM PHILIP KUAMBIANA

Uongozi wa Kampuni ya Proin Promotions Limited na Timu nzima ya Kampuni ya Proin Promotions Limited ambao ni Waandaaji na waendeshaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents tunapenda kutoa pole zetu za dhati kwa Wazazi wa Marehemu Adam P.Kuambia, Ndugu wa Marehemu , Jamaa, Marafiki kwa ujumla na Rais wa Klabu ya Bongo Movie, Ndugu Steve Nyerere kwa kuondokewa na Mmoja kati ya Wasanii Mahiri kabisa katika tasnia hii ya filamu nchini vilevile tunatoa Pole zetu kwa Wasanii wa sanaa ya Maigizo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jaji wa Tanzania Movie Talents (TMT) Single Mtambalike afiwa na baba yake mzazi

Single-Mtambalike-2-cut

Single Mtambalike ‘Richie’.

tmt

MSANII wa maigizo na filamu nchini na aliyekuwa Jaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Single Mtambalike maarufu kwa jina la Richie, amefiwa na baba yake mzazi Mzee Mtambalike usiku wa kuamkia jana, Msiba upo Tabata, Dar.

Timu Nzima ya Tanzania Movie Talents (TMT) na Kampuni nzima ya Proin Promotions Limited inapenda kutoa pole kwa Rich na familia yake kwa kuondokewa na Mzazi wake. TMT na Proin Promotions inaunga nae katika Kipindi hiki...

 

11 years ago

Michuzi

SAFARI YA MWISHO YA MUIGIZAJI WA FILAMU,MAREHEMU ADAM KUAMBIANA KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB HIVI SASA

 Shughuli ya kuaga mwili wa aliekuwa muigizaji na muongozaji wa filamu hapa nchini,Marehemu Adam Kuambiana inaendelea hivi sasa kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.Marehemu kuambiana anatarajiwa kuzikwa leo hii kwenye Makaburi ya Kinondoni hapa hapa jijini Dar.




BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

GPL

MWILI WA ADAM PHILIP KUAMBIANA WATOLEWA MUHIMBILI, KULALA KWAKE BUNJU LEO

Mwili wa Marehemu Adam Kuambiana ukiwa ndani ya gari la kubebea maiti baada ya kuchukuliwa moshwari Muhimbili, unapelekwa nyumbani kwake, Bunju, Dar ambako utalala huko kabla ya kuagwa Viwanja vya Leaders na kuzikwa Kinondoni, kesho. Waombolezaji wakiwa wamelifungua gari la kubebea maiti ili kuweka jeneza lenye mwili wa Adamu Kuambiana leo mchana.… ...

 

11 years ago

GPL

MASHINDANO YA TANZANIA MOVIE TALENTS YAANZA LEO MKOANI MBEYA‏

 Mshiriki wa Tanzania Movie Talents akihojiwa mara baada ya kumaliza usaili katika Shindano la Tanzania Movie Talents linaloendelea muda huu katika Ukumbi wa Benjamin Mkapa uliopo Soko Matola Mkoani Mbeya

  Baadhi ya washiriki waliojitokeza kwaajili ya kuhudhuria usaili wa Shindano la Tanzania Movie Talents wakijadiliana jambo kabla ya kuanza kwa usaili.…
...

 

11 years ago

GPL

MAMIA WAMUAGA MAREHEMU ADAM KUAMBIANA VIWANJA VYA LEADERS

Jeneza lenye mwili wa marehemu Adam Kuambiana likiwa mbele ya waombolezaji. Shilole (kulia) akiwa na baadhi ya waombolezaji.…

 

9 years ago

Bongo Movies

JB Afunguka Haya Kuhusu Marehemu Adam Kuambiana na Ujio wa Filamu Mpya

Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram staa wa Bongo Movies , Jacob Stephen ‘JB’ ameendelea kusifia kipaji cha sanaa alichokuwanacho marehenu Adam Kuambiana ambaye atakuwepo kwenye filamu mpya itakayotoka wiki ijayo inayokwenda kwa jina la mahabusi aliyoicheza kabla ya kufariki dunia.

“Moja kati ya waigizaji ambao sitaacha kuwasifia ingawa tayari ametangulia mbele za haki....Adam Kuambiana....ana sauti, ana hisia na anajua....Yeye pamoja na dada mmoja anayeitwa Bridgete. aliyewahi...

 

11 years ago

GPL

SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS LAKONGA NYOYO ZA WAKAZI WA KANDA YA KUSINI, MAMIA WAJITOKEZA KUSHIRIKI‏


Baadhi ya washiriki kutoka Kanda ya Kusini wakiwa wamejitokeza katika usaili wa kushiriki shindano la Tanzania Movie Talent katika Ukumbi wa Safari lounge uliopo Eneo la Maduka Makubwa, Mtwara Mjini wakiwa kwenye foleni tayari kwa shindano kuanza.

Kundi la Kwanza la Washiriki wa Kanda ya Kusini wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kupewa semina elekezi juu ya maswala mbalimbali kuhusiana na filamu na maisha kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani