MWILI WA AISHA MADINDA WASWALIWA KABLA YA MAZIKO
Mwili wa Aisha Madinda ukiswaliwa kabla ya maziko huko Kigamboni jijini Dar hivi punde. Akina mama wakiuombea mwili wa marehemu Aisha Madinda.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMWILI WA AISHA MADINDA WAZIKWA MAKABURI YA KIBADA, KIGAMBONI JIJINI DAR
10 years ago
CloudsFM19 Dec
HATIMAYE MWILI WA AISHA MADINDA WAFANYIWA UCHUNGUZI KUZIKWA LEO MCHANA
Akizungumza na mtandao Saluti5, mkurugenzi wa Aset Asha Baraka amebainisha kuwa upasuaji umeanza dakika 10 zilizopita na ni zoezi linalotarajiwa kuchukua masaa mawili.
Asha Baraka amesema baada ya zoezi hilo, watauosha mwili wa marehemu katika msikiti ulioko hapo Muhimbili ikiwa ni pamoja na uvishaji wa sanda kabla ya kuelekea nyumbani kwao...
10 years ago
GPLWALIOMUUA AISHA MADINDA WASAKWA!
10 years ago
GPLAISHA MADINDA MUNGU MKUBWA!
10 years ago
CloudsFM18 Dec
AISHA MADINDA KUZIKWA LEO
Aliyekuwa mnenguaji wa bendi ya Twanga Pepeta na Extra Bongo,marehemu Aisha Madinda anatarajiwa kuzikwa leo nyumbani kwao Kigamboni,jijini Dar.
Hapa Aisha akiwa na watoto wake enzi ya uhai wake.
Kwa mujibu wa mtoto wake wa kwanza aitwaye Faisal Madinda alisema kuwa asubuhi wako katika hospitali ya Mwananyamala kuuandaa mwili wa marehemu na baadaye wataupeleka nyumbani kwao maeneo ya Kigamboni na atazikwa leo saa kumi jioni.
10 years ago
GPLAISHA MADINDA AFARIKI DUNIA
10 years ago
CloudsFM19 Dec
Lala salama Aisha Madinda
Jeneza likiwa tayari kusubiri mwili wa marehemu Aisha Madinda msibani maeneo ya Kigamboni,jijini Dar.
10 years ago
GPLMSIBA WAMSOTESHA AISHA MADINDA DUBAI
11 years ago
GPLAISHA MADINDA: MIMI NIIBE SIMU,