Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWILI WA MUFTI KUSAFIRISHWA KESHO MKOANI SHINYANGA

Mufti ,Alhaj Sheikh Shaban Issa Bin Simba enzi za uhai wake.Na Chalila Kibuda.MWILI wa  Mufti ,Alhaj Sheikh Shaban Issa Bin Simba unatarajiwa kusafirishwa kesho mkoani Shinyanga.Akizungumza na waandishi wa habari leo Makao Makuu ya Baraza Kuu la Waislam Tanzania (Bakwata),Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam,Alhaj Alhad Mussa Salum amesema mwili wa marehemu utaswaliwa kesho katika Msikiti wa Msilimu ,viongozi mbalimbali wa dini na serikali watakuwepo.Amesema marehem alikuwa akisumbuliwa na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

EMMANUEL ELISA NYITI AAGWA KANSAS CITY JUMAPILI, MWILI KUSAFIRISHWA KESHO JUMATANO

Picha ni Emmanuel Elisa Nyiti enzi ya uhai wake.Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Emmanule Nyiti likishushwa kanisani kwa ajili ya ibada ya kumuaga mpendwa Emmanuel Nyiti siku ya Jumapili June 28, 2015 Kansas City jimbo la MissouriJeneza likiwa kanisani.Ndugu, jamaa na jamaa wakifuatilia ibada ya kumbukumbu na kuaga mwili wa mpendwa Emmanule Nyiti siku ya Jumapili June 28, 2015 Kansas City.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AONGOZA MAELFU YA WAOMBOLEZAJI KWENYE MAZISHI YA MUFTI MKUU WA TANZANIA MAREHEMU SHEIKH ISSA SHAABAN BIN SIMBA MKOANI SHINYANGA LEO

 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ugongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.Masheikh kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini wakimzika Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.

 

10 years ago

Michuzi

JUST IN: Rais Kikwete aongoza maelfu ya Waombolezaji kwenye Mazishi ya Mufti Mkuu wa Tanzania MArehemu Sheikh Issa Shaaban bin Simba Mkoani Shinyanga leo

 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ugongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.Masheikh kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini wakimzika Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.

 

10 years ago

GPL

MWILI WA JAJI MAKAME WAAGWA NA KUSAFIRISHWA LEO

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akisaini kitabu cha maombolezo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulahman Kinana akisaini kitabu cha maombolezo.
Familia ya Jaji Makame wakiwa na huzuni.…

 

10 years ago

Vijimambo

MWILI WA EDDIE MALCOLM UMEAGWA TAYARI HILI KUSAFIRISHWA NYUMBANI ZANZIBAR TANZANIA


Imamu wa wa msikiti wa Masjid Ihsan Brooklyn, Ny akiongoza sala ya kuuombea mwili wa Eddie pamoja na Watanzania waliojitokeza msikitini hapo.
Ndugu wa marehemu Eddie kutoka Canada, California na Seattle wakiwa mbele ya jeneza kuaga mwili wa ndugu yao.
Bwana Hajji Khamis Mwenyekiti wa New York Tanzania Community akiongea mbele ya Watanzania msikitini hapo, Bwana Hajji alikuwa msitari wa mbele kuakikisha kila kitu kinafanikiwa.

Mhe. Ramadhani Mwinyi Balozi Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania...

 

10 years ago

Mwananchi

Mufti Simba afariki kuzikwa Shinyanga

Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti, Issa Shaaban Bin Simba amefariki dunia jana katika Hospitali ya TMJ, Dar es Salaam alikokuwa amelazwa akisumbuliwa na shinikizo la damu na kisukari.

 

10 years ago

GPL

MAENDELEO YA MSIBA WA MAMA KULWA, DOTTO NA NICO MWAIBALE JIJINI DAR, KUSAFIRISHWA KESHO KWENDA MBEYA KWA MAZISHI

 Meneja Mkuu  wa Global Publishers Limited Bwana. Abdalah Mrisho akitoa mkono wa pole kwa  Dada mkubwa wa kina Mwaibale Mwalimu Mary Anyitike

Mwanahabari Kulwa Mwaibale (mwenye Fulana nyekundu) akiwatambulisha wafanyakazi wenzake wa Kampuni ya Global Publisher kwa wanafamilia.…

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AONGOZA MAELFU MAZISHI YA MUFTI MKUU WA TANZANIA SHINYANGA LEO

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ugongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Masheikh kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini wakimzika Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa…

 

9 years ago

Mwananchi

Mufti mpya kupatikana kesho

Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, anatarajiwa kupatikana kesho katika mkutano mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), utakaofanyika mjini hapa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani