Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWILI WA SATA WAWASILI ZAMBIA

Mwili wa Rais wa Zambia, Michael Sata umewasili leo kwa ndege ya kukodi kutoka London, marais wa zamani Keneth Kaunda, Rukia Banda wameongoza mapokezi, atazikwa Jumanne ya wiki ijayo.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBC

Zambia's Sata goes for health check

Zambia's President Michael Sata, 77, flies abroad for a medical check-up amid persistent speculation that he is seriously ill.

 

10 years ago

GPL

RAIS MICHAEL SATA WA ZAMBIA AFARIKI

Rais wa Zambia, Michael Sata enzi za uhai wake. RAIS wa Zambia, Michael Sata amefariki dunia jana usiku akiwa jijini London nchini Uingereza alipokuwa akipatiwa matibabu baada ya kuugua kwa muda mrefu. Sata aliyeingia madarakani tangu Septemba 23, 2011 amefariki akiwa na umri wa miaka 77 katika Hospitali ya King Edward VII, London. Sata amefariki kwa ugonjwa ambao bado haujawekwa… ...

 

10 years ago

TheCitizen

Zambia’s ‘King Cobra’ Sata dies

Zambian President Michael Sata, who has died aged 77, rose from cleaning railway platforms in London to his country’s highest office, where he vowed to sweep away corruption but leaned heavily on political foes.

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais wa Zambia Michael Sata aaga dunia

Rais wa zambia Michael sata ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 77

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Michael Sata wa Zambia aaga dunia

Rais wa Zambia Michael Sata amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 77. Rais Sata alikuwa akitibiwa jijini London.

 

10 years ago

BBCSwahili

Buriani kwa Rais Michael Sata Zambia

Mazishi ya kitaifa yanafanyika nchini Zambia kumuaga hayati Rais wa nchi hiyo Michael Sata aliyefariki hospitalini mjini London mwezi jana.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA BUNGE LA SADC NA SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA MHE. ANNE MAKINDA ASHIRIKI MISA MAALUM YA KUMWOMBEA ALIYEKUWA RAIS WA ZAMBIA MAREHEMU MICHAEL SATA KATIKA VIWANJA VYA BUNGE LA ZAMBIA MJINI LUSAKA LEO

Mwili wa aliyekuwa Rais wa Zambia marehemu Michael Sata ukiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia leo tayari kwa misa Maalum iliyoandaliwa kabla ya mazishi kufanyika hapo kesho.Rais wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia tayari kushiriki Misa Maalum ya Kumwombea aliyekuwa Rais wa Zambia Mhe. Michael Chilufya Sata kabla ya maziko yake kufanyika hapo kesho.Aliyekuwa Rais wa Serikali ya Awamu wa Zambia Mhe. Lupia Banda...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS SATA WA ZAMBIA KUZIKWA NOVEMBA 11, 2014 JIJINI LUSAKA

Serikali ya Zambia imetangaza kuwa mazishi ya Rais Michael Chilufya Sata (pichani) yatafanyika siku ya Jumanne tarehe 11 Novemba 2014, katika eneo la makaburi lililotengwa rasmi kwa ajili ya kuzikwa Marais  linaloitwa Embassy Park, Lusaka, Zambia.
Mwili wa Rais Sata unategemewa kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda, Lusaka, siku ya Jumamosi tarehe 1 Novemba 2014. Mara baada ya mwili kupokelewa utapelekwa katika Ukumbi wa Mkutano wa Kimataifa wa Mulungushi ambapo watu...

 

10 years ago

GPL

MAKINDA KUONGOZA UJUMBE WA BUNGE LA SADC KUMZIKA RAIS SATA LUSAKA, ZAMBIA

Rais wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda. Na Owen Mwandumbya, Lusaka Zambia Rais wa Bunge la SADC ambaye pia ndiye Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda kesho tarehe 10 Novemba, 2014 ataongoza ujumbe wa Bunge la SADC kushiriki Misa Maalum ya kuombea mwili wa aliyekuwa Rais wa Zambia marehemu Michael Chilufya Sata katika misa maalum itakayofanyika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani