RAIS SATA WA ZAMBIA KUZIKWA NOVEMBA 11, 2014 JIJINI LUSAKA
![](http://1.bp.blogspot.com/-BODUJftsYyw/VFK5XuL3mkI/AAAAAAAGuSI/4tgeCwa5QOA/s72-c/A_B_sata.jpg)
Serikali ya Zambia imetangaza kuwa mazishi ya Rais Michael Chilufya Sata (pichani) yatafanyika siku ya Jumanne tarehe 11 Novemba 2014, katika eneo la makaburi lililotengwa rasmi kwa ajili ya kuzikwa Marais linaloitwa Embassy Park, Lusaka, Zambia.
Mwili wa Rais Sata unategemewa kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda, Lusaka, siku ya Jumamosi tarehe 1 Novemba 2014. Mara baada ya mwili kupokelewa utapelekwa katika Ukumbi wa Mkutano wa Kimataifa wa Mulungushi ambapo watu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-vSzA7BF1MGk/VF8vKlDApGI/AAAAAAAGwIo/gWlpSagDQwk/s72-c/unnamed%2B(25).jpg)
Makinda kuongoza ujumbe wa Bunge la SADC kumzika Rais Sata Lusaka , Zambia
![](http://3.bp.blogspot.com/-vSzA7BF1MGk/VF8vKlDApGI/AAAAAAAGwIo/gWlpSagDQwk/s1600/unnamed%2B(25).jpg)
Rais wa Bunge la SADC ambaye pia ndiye Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda kesho tarehe 10 Novemba, 2014 ataongoza ujumbe wa Bunge la SADC kushiriki Misa Maalum ya kuombea mwili wa aliyekuwa Rais wa Zambia marehemu Michael Chilufya Sata katika misa maalum itakayofanyika katika viwanja vya Makumbusho Mjini Lusaka, Zambia. Katika ujumbe...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lYnNv0-ng5CT2yce2Uqe2DpXXN-iSJuIIOC8yAHR*A-MEHr3k4yoxYItbmATV3VNQuOksYocY2E7IBTEQfHX9wZoOItISVLq/makinda.jpg?width=650)
MAKINDA KUONGOZA UJUMBE WA BUNGE LA SADC KUMZIKA RAIS SATA LUSAKA, ZAMBIA
10 years ago
MichuziRAIS WA BUNGE LA SADC NA SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA MHE. ANNE MAKINDA ASHIRIKI MISA MAALUM YA KUMWOMBEA ALIYEKUWA RAIS WA ZAMBIA MAREHEMU MICHAEL SATA KATIKA VIWANJA VYA BUNGE LA ZAMBIA MJINI LUSAKA LEO
10 years ago
GPL![](https://1.bp.blogspot.com/-E-KaSUlmzJM/VGNk2plRs_I/AAAAAAAGwxc/Ny_Psyyo1PU/s640/unnamed%2B%2887%29.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KWENYE MAZISHI YA RAIS SATA WA ZAMBIA NOV 11, 2014
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-J9ovzJrKufw/VO8mkJTitaI/AAAAAAAHGDE/HpvmffgRWGg/s72-c/unnamed%2B(17).jpg)
JK amtembelea Rais Mstaafu Kaunda wa Zambia jijini Lusaka
![](http://3.bp.blogspot.com/-J9ovzJrKufw/VO8mkJTitaI/AAAAAAAHGDE/HpvmffgRWGg/s1600/unnamed%2B(17).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-IZ7KfYXOvkY/VO8moot-bgI/AAAAAAAHGDg/9KIJ4IK6HYA/s1600/unnamed%2B(18).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-e-DEfSteOAc/VO8mmdQOpxI/AAAAAAAHGDM/rHfniICHqtY/s1600/unnamed%2B(19).jpg)
10 years ago
GPLJK AANDALIWA DHIFA NA RAIS LUNGU WA ZAMBIA, MZEE KENNETH KAUNDA JIJINI LUSAKA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uw8ZJ9XBTbV2NGJwtG9BumKR12vNfPUSIlHwILw0q1tFmW4dkOa5fEJSfBgMkb0CuYpsTcBcy*TQsnw3QIzw6bg14d27vH2I/satta100.jpg?width=650)
RAIS MICHAEL SATA KUZIKWA LEO
10 years ago
Dewji Blog30 Oct
Rais Kikwete aomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Zambia Michael Sata
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameshtushwa na kusononeshwa sana na taarifa za kifo cha Rais wa Jamhuri ya Zambia, Mheshimiwa Michael Chilufya Sata (pichani) ambacho kimetokea jana, Jumanne, Oktoba 28, 2014 kwenye Hospitali ya King Edward VII, London, Uingereza, ambako alikuwa anatibiwa akiwa na umri wa miaka 77.
Katika salamu ambazo amempelekea Makamu wa Rais wa Zambia, Mheshimiwa Dkt. Guy Scott kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
10 years ago
Michuzi12 Nov
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KWENYE MAZISHI YA RAIS SATA WA ZAMBIA
![](https://1.bp.blogspot.com/-E-KaSUlmzJM/VGNk2plRs_I/AAAAAAAGwxc/Ny_Psyyo1PU/s640/unnamed%2B(87).jpg)
![](https://3.bp.blogspot.com/-onk4naEbBHM/VGNk209EPTI/AAAAAAAGwxk/-eFN3tcwar4/s640/unnamed%2B(88).jpg)