Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS MICHAEL SATA KUZIKWA LEO

Rais Michael Sata enzi za uhai wake. Mazishi ya kitaifa yanafanyika nchini Zambia kumuaga hayati Rais wa nchi hiyo Michael Sata aliyefariki hospitalini mjini London Uingereza mwezi jana.Sata alikuwa na umri wa miaka 77. Katika wiki chache zilizopita, wanachi wamekuwa wakitoa heshima zao za mwisho kwa kiongozi huyo ambaye mwili wake ulikuwa umelazwa katika majengo ya bunge. Mwili wa Rais Michael Satta ukipewa heshima za… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Zambia Michael Sata

President-Michael-Sata-view.com_.ng_

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameshtushwa na kusononeshwa sana na taarifa za kifo cha Rais wa Jamhuri ya Zambia, Mheshimiwa Michael Chilufya Sata (pichani) ambacho kimetokea jana, Jumanne, Oktoba 28, 2014 kwenye Hospitali ya King Edward VII, London, Uingereza, ambako alikuwa anatibiwa akiwa na umri wa miaka 77.

Katika salamu ambazo amempelekea Makamu wa Rais wa Zambia, Mheshimiwa Dkt. Guy Scott kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...

 

10 years ago

GPL

RAIS MICHAEL SATA WA ZAMBIA AFARIKI

Rais wa Zambia, Michael Sata enzi za uhai wake. RAIS wa Zambia, Michael Sata amefariki dunia jana usiku akiwa jijini London nchini Uingereza alipokuwa akipatiwa matibabu baada ya kuugua kwa muda mrefu. Sata aliyeingia madarakani tangu Septemba 23, 2011 amefariki akiwa na umri wa miaka 77 katika Hospitali ya King Edward VII, London. Sata amefariki kwa ugonjwa ambao bado haujawekwa… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Michael Sata wa Zambia aaga dunia

Rais wa Zambia Michael Sata amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 77. Rais Sata alikuwa akitibiwa jijini London.

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais wa Zambia Michael Sata aaga dunia

Rais wa zambia Michael sata ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 77

 

10 years ago

BBCSwahili

Buriani kwa Rais Michael Sata Zambia

Mazishi ya kitaifa yanafanyika nchini Zambia kumuaga hayati Rais wa nchi hiyo Michael Sata aliyefariki hospitalini mjini London mwezi jana.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA BUNGE LA SADC NA SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA MHE. ANNE MAKINDA ASHIRIKI MISA MAALUM YA KUMWOMBEA ALIYEKUWA RAIS WA ZAMBIA MAREHEMU MICHAEL SATA KATIKA VIWANJA VYA BUNGE LA ZAMBIA MJINI LUSAKA LEO

Mwili wa aliyekuwa Rais wa Zambia marehemu Michael Sata ukiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia leo tayari kwa misa Maalum iliyoandaliwa kabla ya mazishi kufanyika hapo kesho.Rais wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia tayari kushiriki Misa Maalum ya Kumwombea aliyekuwa Rais wa Zambia Mhe. Michael Chilufya Sata kabla ya maziko yake kufanyika hapo kesho.Aliyekuwa Rais wa Serikali ya Awamu wa Zambia Mhe. Lupia Banda...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA MSIBA WA RAIS WA ZAMBIA, MICHAEL CHILUFYA SATA

Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Rais wa Zambia, Michael Chilufya Sata, wakati alipofika nyumbani kwa Balozi wa Zambia nchini Tanzania, Judith Kapijimpanga, jijini Dar es Salaam, leo Novemba 3, 2014. Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Balozi wa Zambia nchini Tanzania, Judith Kapijimpanga, baada ya kusaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS SATA WA ZAMBIA KUZIKWA NOVEMBA 11, 2014 JIJINI LUSAKA

Serikali ya Zambia imetangaza kuwa mazishi ya Rais Michael Chilufya Sata (pichani) yatafanyika siku ya Jumanne tarehe 11 Novemba 2014, katika eneo la makaburi lililotengwa rasmi kwa ajili ya kuzikwa Marais  linaloitwa Embassy Park, Lusaka, Zambia.
Mwili wa Rais Sata unategemewa kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda, Lusaka, siku ya Jumamosi tarehe 1 Novemba 2014. Mara baada ya mwili kupokelewa utapelekwa katika Ukumbi wa Mkutano wa Kimataifa wa Mulungushi ambapo watu...

 

10 years ago

Habarileo

Burkina Faso yapinduliwa, Sata kuzikwa Nov 11

JESHI la Ulinzi la Burkina Faso, limechukua madaraka na kutangaza kuvunja Serikali na Bunge la nchi hiyo, baada ya kuibuka kwa maandamano ya muda mrefu ya kupinga utawala wa miaka 27 ya Rais Blaise Compaore.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani