Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK AANDALIWA DHIFA NA RAIS LUNGU WA ZAMBIA, MZEE KENNETH KAUNDA JIJINI LUSAKA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Edgar Lungu wa Zambia wakigonga glasi wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoiandaa kwa heshima ya Rais Kikwete jijini Lusaka Zambia jana jioni.    Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akigonga glasi na Rais wa Kwanza wa taifa la Zambia Dkt.Kenneth Kaunda wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima ya Rais Kikwete jijini Lusaka Zambia jana jioni.Rais Kikwete ambaye...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JK amtembelea Rais Mstaafu Kaunda wa Zambia jijini Lusaka

 Rais wa Kwanza wa Zambia Dkt.Kenneth Kaunda akimkaribisha nyumbani kwake Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete huko kijijini kwake Mkango Barracks, State Lodge nje ya jiji la Lusaka leo Dkt. Kaunda ambaye alimwalika Rais Kikwete alifanya naye mazungumzo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua katika kaburi la mke wa Rais wa Kwanza wa Zambia Mama Betty Mutinkhe Kaunda huko Mkango Barracks,State lodge, nje ya jiji la Lusaka leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha...

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: Rais Mstaafu wa Zambia Mzee Dr.Keneth Kaunda alazwa Hospitali Mjini Lusaka

Aleyekuwa Rais wa mwanzo wa Zambia mkongwe wa siasa Dr.Kenneth Kaunda amelazwa katika Hosptali ya Lusaka Trust Hospital kuanzia Ijumaa wiki ya jana, Mzee Kaunda haijulikani ugonjwa gani uliokuwa unamsumbua lakini kwa sasa hali yake inaendelea vema mapema pia Rais wa sasa wa nchi Bw.Michael Sata na mkewe Bi.Dr.Christine Kaseba walenda kumjulia hali Mzee Kenneth Kaunda aka KK(pichani kama kawaida na kitambaa cheupe)

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Edgar Lungu wa Zambia Aandaa Dhifa Kwa Heshima ya Rais Jakaya Kikwete

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Edgar Lungu wa Zambia wakigonga glasi wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoiandaa kwa heshima ya Rais Kikwete jijini Lusaka Zambia jana jioni.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akigonga glasi na Rais wa Kwanza wa taifa la Zambia Dkt.Kenneth Kaunda wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima ya Rais Kikwete jijini Lusaka Zambia jana jioni.Rais Kikwete ambaye alikuwa katika ziara ya siku mbili nchini Zambia tayari amerejea jijini Dar es...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS SATA WA ZAMBIA KUZIKWA NOVEMBA 11, 2014 JIJINI LUSAKA

Serikali ya Zambia imetangaza kuwa mazishi ya Rais Michael Chilufya Sata (pichani) yatafanyika siku ya Jumanne tarehe 11 Novemba 2014, katika eneo la makaburi lililotengwa rasmi kwa ajili ya kuzikwa Marais  linaloitwa Embassy Park, Lusaka, Zambia.
Mwili wa Rais Sata unategemewa kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda, Lusaka, siku ya Jumamosi tarehe 1 Novemba 2014. Mara baada ya mwili kupokelewa utapelekwa katika Ukumbi wa Mkutano wa Kimataifa wa Mulungushi ambapo watu...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete amtembelea Rais Kaunda Lusaka

Rais wa Kwanza wa Zambia Dkt.Kenneth Kaunda akimkaribisha nyumbani kwake Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete huko kijijini kwake Mkango Barracks, State Lodge nje ya jiji la Lusaka leo Dkt. Kaunda ambaye alimwalika Rais Kikwete alifanya naye mazungumzo.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua katika kaburi la mke wa Rais wa Kwanza wa Zambia Mama Betty Mutinkhe Kaunda huko Mkango Barracks,State lodge, nje ya jiji la Lusaka leoRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha wageni...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA MARIA NYERERE ATUMA SALAAM KWA MZEE KENETH KAUNDA WA ZAMBIA

Mnamo tarehe 28 Aprili 2014 Mheshimiwa Mzee Kenneth David Kaunda (KK), Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Zambia alifikisha miaka tisini (90). Sherehe kubwa iliandaliwa siku hiyo ambapo Mama Maria Nyerere alialikwa lakini kwa sababu zisizozuilika hakuweza kuhudhuria. Ili kukamilisha nia hiyo Mama Nyerere akamtuma mwanae Mheshimiwa Makongoro Nyerere ambae pia ni Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kuja kuwasilisha salamu za pongezi zake binafsi na za familia ya Hayati Mwalimu Julius Kambarage...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kenneth Kaunda alazwa hospitalini

Aliyekuwa rais wa Zambia Kenneth Kaunda amelazwa hospitalini mjini Lusaka.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA BUNGE LA SADC NA SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA MHE. ANNE MAKINDA ASHIRIKI MISA MAALUM YA KUMWOMBEA ALIYEKUWA RAIS WA ZAMBIA MAREHEMU MICHAEL SATA KATIKA VIWANJA VYA BUNGE LA ZAMBIA MJINI LUSAKA LEO

Mwili wa aliyekuwa Rais wa Zambia marehemu Michael Sata ukiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia leo tayari kwa misa Maalum iliyoandaliwa kabla ya mazishi kufanyika hapo kesho.Rais wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akiwasili katika viwanja vya Bunge la Zambia tayari kushiriki Misa Maalum ya Kumwombea aliyekuwa Rais wa Zambia Mhe. Michael Chilufya Sata kabla ya maziko yake kufanyika hapo kesho.Aliyekuwa Rais wa Serikali ya Awamu wa Zambia Mhe. Lupia Banda...

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais Edgar Lungu kutibiwa nje ya Zambia

Raisi mteule wa Zambia Edgar Lungu ,ameshauriwa na madaktari kwenda kufanyiwa matibabu na wataalamu wa afya nje ya nchi yake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani