Rais Kikwete amtembelea Rais Kaunda Lusaka
Rais wa Kwanza wa Zambia Dkt.Kenneth Kaunda akimkaribisha nyumbani kwake Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete huko kijijini kwake Mkango Barracks, State Lodge nje ya jiji la Lusaka leo Dkt. Kaunda ambaye alimwalika Rais Kikwete alifanya naye mazungumzo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua katika kaburi la mke wa Rais wa Kwanza wa Zambia Mama Betty Mutinkhe Kaunda huko Mkango Barracks,State lodge, nje ya jiji la Lusaka leo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha wageni...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi.jpg)
JK amtembelea Rais Mstaafu Kaunda wa Zambia jijini Lusaka
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
GPLJK AANDALIWA DHIFA NA RAIS LUNGU WA ZAMBIA, MZEE KENNETH KAUNDA JIJINI LUSAKA
11 years ago
Michuzi
NEWS ALERT: Rais Mstaafu wa Zambia Mzee Dr.Keneth Kaunda alazwa Hospitali Mjini Lusaka

10 years ago
Michuzi
Rais Kikwete aweka shada la Maua katika makaburi ya Marais Lusaka

10 years ago
Michuzi.jpg)
Rais Kikwete amtembelea Rubani wa ndegevita Hospitali ya Jeshi Lugalo
.jpg)
10 years ago
VijimamboRAIS JACOB ZUMA AKUTANA NA RAIS KIKWETE IKULU-MAKAMU WA RAIS AMSINDIKIZA

11 years ago
Michuzi
Rais Kikwete azungumza na Rais Zuma na Rais Kabila Zimbabwe
