Mwili wa Tuppa waagwa
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, jana ameongoza wakazi wa Dodoma, viongozi na familia kuuaga mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tuppa, katika viwanja vya Mwalimu Nyerere. Akiongoza ibada...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
WAZIRI MKUU AONGOZA MAMIA KUAGA MWILI WA MAREHEMU TUPPA
Viongozi Dini wakiongoza ibada ya kuuaga mwili wa Marehemu John Gabriel Tupa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara na hapo awali aliwahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma,aliefariki ghafa siku kadhaa zilizopita. Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Marehemu John Gabriel Tupa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara na hapo awali aliwahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya… ...
11 years ago
GPL
MWILI WA DK MGIMWA WAAGWA JIJINI DAR
Aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa enzi za uhai wake.
Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa kwa sasa unaagwa katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar kabla ya kusafirishwa kwenda mkoani Iringa kwa maziko. Dk. Mgimwa alifariki dunia Januari 1 mwaka huu akiwa Hospitali ya Mediclinic Kloff nchini Afrika Kusini alipokuwa akipatiwa matibabu. ...
9 years ago
CHADEMA Blog
HATIMAYE MWILI WA ALPHONSE MAWAZO WAAGWA MWANZA
Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe akipita mbele ya jeneza la Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema wa Mkoa wa Geita Ndugu Alphonse Mawazo.
Mke wa Marehemu Alphonse Mawazo na mtoto wake Precious Mawazo wakimsikiliza Mchungaji aliyekuwa akiendesha misa ya kumuombea marehemu Alphonse Mawazo
11 years ago
GPL
MWILI WA ADAM KUAMBIANA WAAGWA BUNJU B, DAR
Mwili wa Adam Kuambiana ukiandaliwa tayari kwa kuagwa nyumbani kwake Bunju B jioni hii. Waombolezaji wakiwa msibani tayari kuaga mwili. Wa tatu kutoka kulia waliokaa mbele ni mke wa marehemu Janeth Rithe ambaye ni Diwani Kata ya Kunduchi, Dar.…
11 years ago
GPL
MWILI WA BALOZI FLOSSY WAAGWA JIJINI DAR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu, Frossie Chiyaonga. (PICHA NA OMR) MAKAMU wa Rais, Dk. Gharib Bilal ameongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Balozi wa Malawi nchini Tanzania, Flossy Gomile-Chidyaonga katika Ukumbi wa Mwl. Nyerere uliopo jijini Dar es Salaam. Viongozi mbalimbali wa nje na ndani ya nchi...
10 years ago
GPL
MWILI WA DK. MAKAIDI WAAGWA KARIMJEE, KUZIKWA SINZA
Dk. Emmanuel Makaidi enzi za uhai wake. Jeneza lenye mwili wa marehemu Makaidi likiwa mbele wakati ibada maalum ya kumuombea ikiendelea. Mke wa marehemu, Bi Modester Makaidi akionekana mwenye majonzi mazito. …
11 years ago
GPLMWILI WA JAJI MAKAME WAAGWA NA KUSAFIRISHWA LEO
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akisaini kitabu cha maombolezo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulahman Kinana akisaini kitabu cha maombolezo.
Familia ya Jaji Makame wakiwa na huzuni.…
11 years ago
GPLMWILI WA FIDELIS MANYOTA WAAGWA JIJINI DAR
Mhariri Mtendaji wa GPL, Richard Manyota akipewa pole na baadhi ya waombolezaji waliofika hospitali ya Temeke kuaga mwili wa marehemu Fidelis Manyota. Baadhi ya ndugu wakilia kwa huzuni.…
10 years ago
GPL15 Oct
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania