Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Myanmar: Uchaguzi wa kwanza katika miaka 25

Uchaguzi huu ndio unaotarajiwa kutamatisha utawala wa kijeshi uluodumu kwa nusu karne.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mtihani wa kwanza Somalia katika miaka 25

Wanafunzi nchini Somalia wanafanya mtihani wao wa kwanza katika kipindi cha miaka 25 tangu kuporomoka kwa serikali ya pamoja

 

9 years ago

BBCSwahili

Upinzani waamini utashinda uchaguzi Myanmar

Chama cha upinzani nchini Myanmar cha NLD kimesema kina Imani kitashinda uchaguzi wa kwanza huru kufanyika nchini humo katika kipindi cha miaka 25.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mkutano wa kwanza katika miaka 30 Korea Kaskazini

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un, anaongoza mkutano wa kwanza kabisa wa chama tawala cha wafanyikazi baada ya miaka 30.

 

11 years ago

Dewji Blog

INASIKITISHA SANA: Mtoto wa miaka 4 afichwa katika Boksi miaka 4

DSC01716mtotot

Maria Said mama mkubwa wa Nasra, (katikati) ni baba mzazi wa Nasra, Rashidi Mvungi, na (kulia) ni mume wa Mariam Said wakiwa katika ofisi za ustwawi wa jamii mjini Morogoro baada ya kukamatwa na kufikishwa polisi kwa tuhuma za kumficha mtoto huyo ndani ya box kwa miaka 4 baada ya mama wa mtoto huyo kufariki dunia kwa ugonjwa wa Malaria.

MUME na mke wanashikiliwa na polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma za kumficha mtoto kwa miaka 4 ndani ya Box .

Kamanda wa polisi mkoani Morogoro Leonard Paul...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa kwanza wa kielektroniki Namibia

Wananchi nchini Namibia wanashiriki uchaguzi wa kitaifa ambao unasemekana kuwa wa kwanza wa kielektroniki barani Afrika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani