Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mzazi afanye haya ili mtoto apate matokeo mazuri

Hivi karibuni Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) lilitangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne. Kwa mujibu ya matokeo hayo, ufaulu umeongezeka tofauti na mwaka jana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ASHA BARAKA ANASUBIRI RASIMU YA KATIBA ILI AFANYE UAMUZI

Asha Baraka akiongea na wanahabari wa Global Publishers Ltd (hawapo pichani).
Na Elvan Stambuli
ASHA Baraka Msiilwa ni mwanasiasa kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (Nec). Mbali na siasa, Asha ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Aset inayomiliki Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’. Ijumaa iliyopita alitembelea ofisi za gazeti hili zilizopo Bamaga, Mwenge jijini Dar na...

 

10 years ago

GPL

NASIBU ABDUL ALISHAFANYA VIBARUA ILI APATE FEDHA YA CHAKULA

Na Mwandishi Wetu ANAITWA Nasibu Abdul au maarufu kwa jina la Diamond. Alizaliwa saa kumi na moja jioni ya Oktoba 2, 1989 katika Hospitali ya Amana iliyopo Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam. Wazazi wake walimpa jina la Nasibu wakiamini ni la bahati. Mkali wa Bongo fleva, Nasibu Abdul au maarufu kwa jina la Diamond akipozi. Diamond aliongea hivi karibuni na safu hii ya Mjue Huyu ambapo aliweka wazi mambo mengi ya maisha yake....

 

9 years ago

GPL

CHRISTIAN BELLA ADAI HATOI WIMBO MPYA ILI APATE TUZO

KING of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’. KING of the Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ amefungukia ujio wake wa sasa wa Ngoma ya Amerudi aliyoizindua mwishoni mwa wiki iliyopita kuwa hatoi wimbo mpya ili apate tuzo. Staa huyo anayebamba na Ngoma ya Nashindwa, aliwaambia mashabiki wa muziki wa Dansi waliokuwa wamefurika katika Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni jijini Dar katika...

 

10 years ago

Vijimambo

NASIBU ABDUL "DIAMOND" ALISHAFANYA VIBARUA ILI APATE FEDHA YA CHAKULA

Na Mwandishi Wetu GPL
ANAITWA Nasibu Abdul au maarufu kwa jina la Diamond. Alizaliwa saa kumi na moja jioni ya Oktoba 2, 1989 katika Hospitali ya Amana iliyopo Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam. Wazazi wake walimpa jina la Nasibu wakiamini ni la bahati.

Diamond aliongea hivi karibuni na safu hii ya Mjue Huyu ambapo aliweka wazi mambo mengi ya maisha yake. Diamond akiwa hajapata ufahamu, yaani bado mdogo, wazazi wake walitengana kwa sababu ambazo bado hazijawa wazi na baba yake kumuacha na...

 

10 years ago

Mwananchi

Haya siyo maneno mazuri kwa mjazito

Licha ya kuwa na changamoto nyingi, ujauzito ni hatua yenye faraja kubwa sana wanawake wengi. Kwani kila mmoja huwa na matumaini makubwa kwa kile alichokibeba tumboni.

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Mtoto apate haki ya kumfahamu baba’

MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba, Ezekiel Oluoch, ametaka katiba mpya iweke kipengele cha haki ya mtoto kumfahamu baba yake mzazi. Akichangia mjadala wa jumla kuhusu ibara za sura za...

 

9 years ago

Bongo Movies

Mzee Jangala: Alitamani Mtoto Wake Afanye Kazi Hii..

MKONGWE wa filamu za vichekesho nchini, Bakari Mbelemba maarufu kama Mzee Jangala, amesema alitamani mwanaye wa kwanza wa kiume awe mwanajeshi badala ya kuwa kwenye fani yake ya sanaa.

Mzee Jangala alisema enzi zao walikuwa wanaamini zaidi ukiwa na mtoto mwanajeshi kuna mambo mbalimbali atakuwa anaweza kuyatimiza kama atakuwa na nafasi kubwa.

“Chaguo la kwanza nilitaka mwanangu awe mwanajeshi, kama alikuwa anataka kuwa daktari au kufanya sanaa basi nilipenda avifanye akiwa jeshini lakini...

 

9 years ago

Michuzi

RC Makalla afurahishwa na matokeo mazuri ya darasa la saba wilayani Hai

Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, akiwa ameshika glasi ya kinywaji kwa ajili ya kufurahia kwa pamoja kwenye hafla ya kuwapongeza walimu wa wilaya ya Hai mkoani humo baada ya kupata matokeo mazuri katika ufaulu wa darasa la saba mwaka huu. Hai imeshika nafasi ya kwanza kiwilaya mkoani humo na nafasi ya nne kitaifa.
Na Mwandishi Wetu, Hai

MKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, amehudhuria halfa ya kuwapongeza walimu wilayani Hai, mkoani humo, kwa kufanikisha ufaulu mzuri wa darasa la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani