Mzee Chilo adai runinga zilisababisha kupotea tamthilia za nyumbani
Msanii wa filamu, Mzee Chilo amedai wamiliki wa runinga nchini ndio waliosababisha kupotea kwa tamthilia za nyumbani kwa kuzikwepa na kuonesha za kigeni.
Muigizaji huyo ambaye pia ni mmiliki wa kampuni ya Pilipili Entertainment, ameiambia Bongo5 kuwa hali hiyo imesababisha wazalishaji wa filamu nchini kukaa na kazi zao ndani bila kuwa na sehemu za kuzipeleka.
“Kilichopoteza tamthilia zetu ni runinga zetu, wakawa wanaamua kuonesha tamthilia za kigeni sijui kwao ndio zilikuwa rahisi?” amesema...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies01 Jan
Chilo Afungukia Kupotea Tamthilia za Nyumbani
Msanii wa filamu, Mzee Chilo amedai wamiliki wa runinga nchini ndio waliosababisha kupotea kwa tamthilia za nyumbani kwa kuzikwepa na kuonesha za kigeni.
Mzee Chilo
Muigizaji huyo ambaye pia ni mmiliki wa kampuni ya Pilipili Entertainment, ameiambia Bongo5 kuwa hali hiyo imesababisha wazalishaji wa filamu nchini kukaa na kazi zao ndani bila kuwa na sehemu za kuzipeleka.
“Kilichopoteza tamthilia zetu ni runinga zetu, wakawa wanaamua kuonesha tamthilia za kigeni sijui kwao ndio zilikuwa...
10 years ago
Bongo527 Oct
Mzee Chilo adai ugomvi wa Bongo Movie Unity unatokana na uchu wa madaraka
10 years ago
Bongo Movies07 Jun
Mzee Chilo Aingia Chimbo
Muigizaji mkongwe katika tasnia ya filamu Tanzania, Mzee Chilo ameonyesha kuwa licha ya umri mkubwa alionao, anaendelea na kazi ya sanaa, hivi sasa akiwa katika utayarishaji wa tamthilia kubwa kabisa inayokwenda kwa jina 'Ghafla Siku Moja'.
Kazi hiyo inaendelea kwa sasa kuongeza nguvu kwa upande wa utayarishaji tamthilia hapa nchini ambao bado upo chini kufuatia wasanii wengi kujikita katika filamu ambazo huwagharimu bajeti na muda mdogo kukamilisha.
Eatv.tv
11 years ago
GPLMZEE CHILO AWATOLEA UVIVU WASANII
9 years ago
Bongo Movies12 Nov
Mzee Chilo: Going Bongo Inastahili Tuzo Zaidi
Mwigizaji wa filamu, Chilo ametaja sababu tatu zinazoweza kuifanya filamu ya Going Bongo kushinda tuzo zaidi, ambazo ni maandalizi ya muda mrefu, kuona mbali na waigizaji kutambua kazi yao.
Mwigizaji huyo, ambaye jina lake halisi ni Ahmed Olutu, alisema inawezekana mambo mengine yamo ndani ya maandalizi, lakini kiuhalisia kila jambo linajitegemea, kwa sababu unaweza kuandaa kila kitu lakini waigizaji wakawa hawatambui thamani ya ulichokiandaa na kufanya mzaha katika kazi.
Chilo ni miongoni...
10 years ago
GPLMIAKA 10 KWENYE GEMU MZEE CHILO: SANAA HAILIPI!
10 years ago
Bongo513 Apr
Mzee Chilo asema filamu ya ‘Going Bongo’ imemfunza mengi
9 years ago
Mtanzania04 Dec
Mzee Chilo, Kijo, Hashim Kambi ndani ya ‘Homecoming’
NA MWANDISHI WETU
MASTAA wengi wa Bongo Movie wamekutanishwa katika filamu mpya ya ‘Homecoming’, inayotarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni, huku ikilenga kubadilisha soko la mauzo ya filamu za Tanzania.
Baadhi ya mastaa hao walioshiriki katika filamu hiyo ni pamoja na Daniel Kijo, aliyekuwa akitangaza kipindi cha Daladala kinachorushwa na televisheni ya Star TV, Ahmed Olotu ‘Mzee Chilo’, Hashim Kambi, Susan Lewis ‘Natasha’ na Abby Plaatjes, aliyewahi kuwa mmoja wa washiriki wa Big Brother...
10 years ago
Dewji Blog13 Apr
Irene Paul na Mzee Chilo ndani ya uzinduzi wa “Narudi Bongo”
Mwigizaji Mkuu wa Filamu hiyo Ernest Rwandalla akiwa na wadau waliojitokeza kwenye uzinduzi.
Akiwa na baadhi ya wasanii waliojitokeza.
Mzee Chilo akiwa na mwigizaji Mkuu wa filamu hiyo.
Irene Paul nae alikuwapo pia kushuhudia uzinduzi huo.
Ilikuwa ni siku ya furaha.
Akihojiwa na waandishi wa habari.
Na Mwandishi Wetu
FILAMU Going Bongo imezinduliwa rasmi na kuhudhuriwa na mamia ya wadau wa filamu nchini, kwenye hafla iliyofanyika eneo la Bahari Zoo.
Akizungumza na waandishi wa...