Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mzee Kingunge atoa yake ya moyoni mjini Dodoma leo

MWANASIASA mkongwe nchini, mzee Kingunge Ngombale Mwiru, amekionya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutofanya dhihaka ya kumpendekeza kada yoyote kuwa mgombea wake wa urais kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu, kwani kwa kufanya hivyo kitaanguka.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma leo Jumatano Julai 8, 2015, Kingunge ambaye ameshawahi kushika nyadhifa mbalimbali serikalini na ndani ya chama hicho alisema “ninatishwa na watu wanaotumia nguvu nyingi kwelikweli...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MAZINGIRA) ATOA TAMKO KUHUSU SIKU YA KUPAMBANA NA KUENEA KWA HALI YA JANGWA NA UKAME DUNIANI MJINI DODOMA LEO

Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Makamu wa Rais (Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza na waandishi wa Habari katika Ukumbi wa Habari, Bungeni alipokutana nao kutoa Tamko kwa niaba ya Waziri kuhusu Siku ya kupambana na Kuenea kwa hali ya Jangwa na Ukame Dunia leo tarehe 16 Juni, 2014. Picha na Owen Mwandumbya.

 

10 years ago

Vijimambo

Leo Mzee Kingunge kaongea na Vyombo vya Habari, ameanza kwa kupinga mfumo uliotumika kuwachuja wagombea wa urais kupitia CCM.


Kingunge amesema "Kamati ya Maadili huko nyuma ilikuwa ni chombo chakuandaa taarifa ili kuisadia Kamati Kuu ktk kuwajadili wagombea"
Amesema Kamati ya Maadili ya safari hii imefanya kazi isiyowahusukikatiba - kukata majina ya wagombe.
Kingunge amesema Kamati ya Maadili ya CCM yenyewe imekosa maadili yakuheshimu katiba na taratibu za chama.Amesisitiza Kamati ya Maadili haikuwa na madaraka ya kupeleka majina 5kwenye kamati kuu, ambayo ilipaswa kuhoji wagombea wote 38.

Kwa mujibu wa Kingunge, Kuna...

 

10 years ago

Michuzi

JK atoa Msaada kwa Timu ya Kilimani Sports Club mjini Dodoma

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiikabidhi timu ya soka ya Kilimani Sports Club jezi na mipira katika ikulu ndogo ya mjini Dodoma leo asubuhi.Rais Kikwete alitoa msaada kwa timu hiyo baada ya kuwakuta vijana hao wakifanya mazoezi bila zana bora katika uwanja wa mpira ulioko eneo la Kilimani karibu na Ikulu wakati Rais alipokuwa akifanya mazoezi ya kutembea katika eneo hilo.Wakiongea mara baada ya kupokea msaada huo vijana hao walimshukuru Rais Kwa moyo wake wa upendo na nia yake ya kukuza...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete atoa Msaada kwa Timu ya Kilimani Sports Club mjini Dodoma


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiikabidhi timu ya soka ya Kilimani Sports Club jezi na mipira katika ikulu ndogo ya mjini Dodoma leo asubuhi.Rais Kikwete alitoa msaada kwa timu hiyo baada ya kuwakuta vijana hao wakifanya mazoezi bila zana bora katika uwanja wa mpira ulioko eneo la Kilimani karibu na ikulu wakati Rais alipokuwa akifanya mazoezi ya kutembea katika eneo hilo.Wakiongea mara baada ya kupokea msaada huo vijana hao walimshukuru Rais Kwa moyo wake wa upendo na nia yake ya kukuza...

 

10 years ago

Michuzi

UPDATES KUTOKA DODOMA: RAIS KIKWETE AFUNGA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA LEO, KUMTAMBULISHA MAGUFULI UWANJA WA JAMHURI JIONI HII

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama, wakati wa kuufunga Mkutano huo jioni hii kwenye Ukumbi wa Mikutano wa CCM (Dodoma Convition Centre), uliopo Mjini Dodoma. CCM wanafanya mkutano mkubwa wa kumtambulisha Mgombea wao jioni hii kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwatambulisha Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe...

 

10 years ago

Habarileo

Ndugai atoa ya moyoni

MBUNGE wa Kongwa anayetetea nafasi yake, Job Ndugai amesema kumekuwa na njama za kumchafua ili kumharibia sifa yake kwani baadhi ya waliojitokeza kuwania ubunge katika jimbo hilo ni mapandikizi na wako kwa nia ya kufanya fujo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bi. Hania atoa ya moyoni

MKALI wa filamu za Kibongo, Halima Issa ‘Bi Hania’, ameelezea kukerwa na kukithiri kwa tabia ya baadhi ya viongozi wa makundi ya sanaa kuendekeza vitendo vya ngono kwa wasanii wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zitto atoa ya moyoni

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (CHADEMA), amewaomba wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba watakaporejea Agosti 5, wapitishe rasimu ya pili ya katiba kama njia ya kumuenzi mama yake Shida...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani