Nahodha jela kwa ajali ya Ferry Korea
Nahodha wa kivuko cha Korea Kusini ambacho kilizama mwezi Aprili 2014 amepatikana na hatia ya uzembe wa kupindukia na kufungwa miaka 36 jela.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili20 Nov
Mkuu wa kampuni ya ferry Korea jela
Mahakama imemhukumu miaka 10 gerezani mkurugenzi mkuu wa kampuni iliyoitengeza feri ya Sewol iliyozama mwezi Aprili na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 300, wengi wao wakiwa ni watoto.
10 years ago
BBCSwahili04 Jul
Mmiliki na nahodha wa ferry mahakamani
Polisi nchini Ufilipino wamewafungulia mashtaka mmiliki na nahodha wa ferry ambayo ilizama na kuwaua zaidi ya watu 50.
11 years ago
BBCSwahili16 Apr
11 years ago
BBCSwahili15 May
Nahodha, baharia 3 washtakiwa kuua Korea
Nahodha na wafanyakazi wengine watatu wa feri iliyozama Korea Kusini mwezi uliopita wameshtakiwa kwa kuua bila kukusudia.
10 years ago
BBCSwahili12 Feb
Nahodha,Costa Concordia afungwa jela
Nahodha wa meli ya Costa Concordia iliyosababisha vifo vya watu watu 32 wakiwemo wafanyakazi wa meli hiyo amehukumiwa kwenda jela.
5 years ago
BBCSwahili19 Jun
Korea Kaskazini: Je nini kilichosababisha kulipulia kwa afisi ya mawasiliano na Korea Kusini?
Experts' views on why North Korea has chosen to provoke the South by destroying the liaison office.
11 years ago
Mwananchi30 Apr
Ajali ya Kivuko Korea Kusini: Inatukumbusha Mv Bukoba, MV Skagit
>Kutokana na uchungu alionao, haisikii mvua kubwa inayomnyeshea na upepo mkali unaoupiga mwili wake. Christine Kim amesimama ufukweni mwa bahari kwa zaidi ya saa tisa huku machozi yakimtiririka.
11 years ago
Tanzania Daima09 Mar
Aliyesababisha ajali ya Mbowe jela miezi 18
MAHAKAMA ya Wilaya ya Geita mkoani Geita imemhukumu Sayi Kahindi (35) kifungo cha miezi 18 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kusababisha ajali ya gari alilokuwemo Mbunge wa Hai, Freeman...
11 years ago
Mwananchi27 Dec
Nahodha: Sitavunjika moyo kwa yaliyonikuta
Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha amesema licha ya kuvuliwa uwaziri ataendelea kuwa kiongozi wa kisiasa na kukitumikia chama chake na wananchi bila ya kuvunjika moyo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania