Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU AKAGUA MAANDALIZI YA MAPOKEZI YA WANAFUNZI MZUMBE


Hapa akikagua moja ya vifaa vilivyofungwa kuwezesha wanafunzi kunawa na sabuni na maji tiririka kabla ya kuingia darasani. Eneo hili ni kwenye ukumbi wa mihadhara (lecture theatre) Fanon.
Makamu Mkuu wa Chuo akifanya mjumuisho katika wa ziara ya ukaguzi iliyofanywa na Naibu Katibu Mkuu. Wanaoonekana pichani ni baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya Chuo Kikuu Mzumbe na watendaji katika Kituo cha Afya.

Naibu Katibu Mkuu Dr. Evamarie Semakafu, akitoa maelekezo ya maboresho baada ya kupokea taarifa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zanzibar Salumu Mwalimu


Naibu Katibu Mkuu wa Chademba Zanzibar, Salumu Mwalimu akipokewa na viongozi wa chama hicho baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Zanzibar akifuatana na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk.Wilbrod Slaa (kulia) na viongozi wengine wa chama hicho jana.


 Mamia ya wananchi na wafuasi wa Chadema kwenye mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Salumu Mwalimu baada ya kuwasili kwenye ofisi hiyo Darajabovu mjini Zanzibar jana.

Dk.Slaa akiteta jambo na manaibu wake, John Mnyika (kushoto) na Salumu Mwalimu...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU AKAGUA MRADI WA KUPUNGUZA ATHARI ZA MAAFA YA UKAME WILAYANI KISHAPU

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Regina Kikuli akiongozana na Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brigedia Jenerali  Mbazi Msuya wakati wa kufuatilia Utekelezaji wa Mradi wa kupunguza Athari za Maafa ya Ukame kijijini Masanga , wilayani Kishapu Shinyanga, tarehe 5 Julai, 2015, Mradi huo unafadhiliwa na Benki ya Dunia kupitia UNICEF. Baadhi ya wanakikundi cha Mkombozi kata ya Masanga wilayani Kishapu Shinyanga, wakiwa na mbuzi waliowapata kutoka Idara ya...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UJENZI AKAGUA BARABARA YA DODOMA-BABATI KM 251.4

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe akikagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Kolo katika Barabara ya Dodoma-Babati sehemu ya Mela-Bonga. Mwandisi Mkazi katika mradi wa Barabara ya Dodoma-Babati sehemu ya Mayamaya-Mela, Eng. Emeterio Onias wapili kutoka kulia akimpa maelekezo Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe kuhusu ujenzi wa Barabara  hiyo.

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe katikati akitoa maelekezo kwa Mkandarasi anayejenga barabara ya...

 

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU MWAKALINGA AKAGUA UTEKELEZAJI WA MKAKATI WA WIZARA KUJIKINGA NA CORONA


Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mbunifu Majengo, Elius Mwakalinga, akihakiki utekelezaji wa mkakati wa Sekta ya Ujenzi kwa watumishi katika kutekeleza maelekezo ya Wizara ya Afya namna ya kujikinga na maambukizi ya Homa ya Mapafu (Covid – 19), jijini Dodoma.Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mbunifu Majengo, Elius Mwakalinga, akifafanua jambo kwa Mhasibu wa Sekta hiyo, Bw. Thomas Malima,...

 

9 years ago

Michuzi

Naibu Katibu Mkuu wa TAMISEMI akagua hali ya mazingira ya soko la Temeke Sterio, jijini Dar

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu Bw. Zuberi Samataba (aliyetangulia) akikagua machinjio ya kuku jana katika soko la Temeke Sterio Halmashauri ya Manispaa ya Temeke.Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke Bw. Photidas Kagimbo (wa pili kushoto) akimwongoza Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu Bw. Zuberi Samataba(katikati) kukagua soko la...

 

10 years ago

Vijimambo

Shamra shamra za Mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Salum Mwalimu

Kikundi cha ngoma ya kibati kikitumbuiza Uwanja wa Ndege wa Pemba wakati wa mapokezi ya viongozi wa kitaifa wa CHADEMA waliofanya ziara ya siku moja kisiwani humo kwa lengo la kumtambulisha Naibu Katibu Mkuu wa Chama Zanzibar, Salum Mwalimu.

 

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO JESHI LA POLISI

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Wakwanza kushoto), akiwasili katika Majengo mapya ya nyumba za Askari Magereza pamoja na Kiwanda cha Ukonga, alipofanya Ziara ya Ukaguzi katika eneo hilo, jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (Wakwanza kushoto), akikagua majengo ya Jeshi la Magereza  akiwa pamoja na baadhi ya Maafisa wa Jeshi hilo, jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,...

 

10 years ago

Michuzi

Shamra shamra za Mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Zanzibar Salum Mwalimu.

Kikundi cha ngoma ya kibati kikitumbuiza Uwanja wa Ndege wa Pemba wakati wa mapokezi ya viongozi wa kitaifa wa CHADEMA waliofanya ziara ya siku moja kisiwani humo kwa lengo la kumtambulisha Naibu Katibu Mkuu wa Chama Zanzibar, Salum Mwalimu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani