NAIBU WAZIRI WA AFYA: MARUFUKU MAOMBI YA DAWA KW NJIA YA KARATASI
Na Englibert Kayombo, WAMJW – Moshi, Kilimanjaro.Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile amepiga marufuku kwa watumishi wa afya katika vituo vya kutolea huduma za afya kutumia karatasi kama njia ya kuidhinisha maombi ya dawa.
Dkt. Ndugulile ametoa marufuku hiyo maara baada ya kubaini mianya ya upotevu wa dawa za Serikali katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini alipokuwa ziarani katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziDKT NDUGULILE APIGA MARUFUKU MAOMBI YA DAWA KWA NJIA YA KARATASI
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile (kulia) akikagua nyaraka ya dawa iliyoandikwa kwa karatasi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro ambapo amepiga marufuku na kuwataka kujaza maombi ya dawa kupitia fomu maalum.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akiakikagua nyaraka ambayo imeandikwa kwa usahihi kwenye fomu maalum ya maombi ya dawa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa...
5 years ago
CCM BlogNAIBU WAZIRI WA AFYA DKT. MOLLEL ATEMBELEA BOHARI KUU YA DAWA (MSD) JIJINI DAR ES SALAAM
Akizungumza na viongozi wa Bohari ya Dawa Jijini Dar es Salaam Dkt Mollel amesema lengo la kutembelea taasisi hiyo ni kuangalia maboresho katika uagizaji, utunzaji na usambazaji wa dawa vifaa tiba na vitendanishi vya maabara ili kuboresha huduma ya...
5 years ago
MichuziNaibu Waziri wa Afya aipongeza Benki ya CRDB uwezeshaji Sekta ya Afya
====== ====== ======
9 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA WAGONJWA WA MARADHI YA KIPIDUPINDU KATIKA KITUO CHA AFYA KARAKANA
Baadhi ya Wagonja walifikishwa Hospitali hapo kwa ajili ya kupatiwa matibabu baada ya kupata maradhi ya matumbo ya kuharisha (kipindupindu). Mwandishi wa Habari Rahma Suleiman akichukua maelezo kwa Mgonjwa aliyefika katika kituo hicho mara baada ya kupata hujambo. Naibu Waziri wa Afya Mahmoudu Thabiti Kombo akionyesha ramani ya maeneo yanayoathiriwa zaidi na ugonjwa wa maradhi ya matumbo.Naibu Waziri wa Afya Mahmoudu Thabiti Kombo akipata maelezo kwa Dkt. Dhamana Fadhili Ramadhan...
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AFANYA ZIARA KATIKA WITUO VYA AFYA MKOA WA KASKAZINI ''A'' UNGUJA
9 years ago
Michuzi20 Dec
NAIBU WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA KITUO CHA AFYA MIWANI KUONA CHANGAMOTO WANAZOKABILIANA NAZO KITUONI HAPO.
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR MAHMOUD THABIT KOMBO AFUNGA MAFUNZO YA SIKU 10 YA MFUMO WA UKUSANYAJI TAARIFA ZA AFYA
9 years ago
Habarileo03 Jan
Naibu waziri afya amtembelea Pengo
NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamis Kigwangala amemtembelea na kumjulia hali Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.
5 years ago
MichuziNaibu Waziri wa Afya wa Iran apatwa na Corona
Naibu Waziri wa Afya wa Iran amethibitisha kuwa amepatwa na virusi vya Corona lakini amesisitiza kuwa, nchi hii itashinda janga la virusi hivyo wiki chache zijazo.
Iraj Harirchi amesema, kwa sasa amewekwa katika karantini ambako anapewa matibabu na kwamba hali yake ya kiafya ni nzuri kwa ujumla japokuwa anasumbuliwa na homa na uchovu.
Harirchi amesema ana uhakika kwamba, Iran itashinda mlipuko wa virusi vya Corona katika wiki kadhaa zijazo akisisitiza kuwa, nchi hii ina zana na matibabu...