Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAIBU WAZIRI WA FEDHA AZINDUA KITABU CHA KIHISTORIA

Mwandishi wa kitabu cha kihistoria na Mhariri Mkuu, Simai Mohammed Said akizungumza jambo wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho. Mchapishaji wa kitabu hicho, Javed Jafferji akizungumza jambo wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

NAIBU WAZIRI WA HABARI, VIJANA, NA MICHEZO AZINDUA RASMI KITABU CHA "HISTORIA YA KLABU YA SIMBA" KILICHOANDIKWA NA MWINA KADUGUDA‏

 Mwina Kaduguda Mtunzi wa kitabu cha "HISTORIA YA SIMBA" akielezea kwa kina Magumu gani amepitia wakati anaanza kuandaa kitabu hicho,Wa kwanza Kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia na Katikati ni Mkurugenzi wa Mkuki na Nyota Bwana Mkuki Bgoya ambao ndio wachapishaji wa kitabu hicho.Akielezea kwa ufupi Mwina Kaduguda amesema kwamba Dhumuni kubwa la Kutunga kitabu hicho...

 

10 years ago

GPL

DR. KIKWETE KUZINDUA KITABU CHA KIHISTORIA KESHO

Mwandishi wa kitabu cha kihistoria na Mhariri Mkuu, Simai Mohammed Said (wa kwanza kushoto) akizungumza wakati wa mkutano huo. Katikati ni mchapishaji wa kitabu hicho, Javed Jafferji pamoja na Afisa mahusiano, Claire Chemoinywa (kulia) Meza kuu ikitafakari maswali waliyoulizwa na wanahabari (hawapo pichani)…

 

11 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani azindua Kituo cha Polisi Natta,Wilayani Serengeti Mkoani Mara

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani,Mh. Pereira Silima akizindua rasmi Jengo la Kituo cha Polici cha Natta Wilayani Serengeti huku Mkurugenzi Mkuu wa Grumeti Fund,Bw. Brian Harris akishuhudia. Kituo hicho cha Polisi cha kisasa kimegharimu shilingi Milioni 273 ambazo zimetolewa na Grumeti Fund ikiwa ni pamoja na nyumba za kuishi familia mbili za Polisi na mfumo wa kuvuna maji. Naibu Waziri Mambo ya Ndani,Mh. Pereira Silima akikata utepe kufungua rasmi Kituo cha Polisi cha Natta wilayani...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA KILIMO AZINDUA KIWANDA KIPYA CHA KUZALISHA MBEGU BORA ZA MAHINDI JIJINI ARUSHA

Kampuni ya mbegu ya Seedco imezindua kiwanda kipya cha kuzalisha mbegu bora za mahindi na nafaka nyingine kitakachowasaidia wakulima kulima kilimo chenye tija na kupata mazao mengi.
Uzinduzi huo uliongozwa na Naibu Waziri wa Kilimo na Chakula Godifrey Zambi ambaye alifungua rasmi kiwanda hicho ,Amesema kuwa tasnia ya mbegu ni tasnia muhimu katika ukuaji wa sekta ya kilimo hiyo amewataka wazalishaji mbegu kuongeza tija ili kukuza kilimo.
Ameeleza kuwa kampuni hiyo imetimiza matakwa ya serikali...

 

10 years ago

Vijimambo

NAIBU WAZIRI WA MAJI MH AMOS MAKALLA AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI KIJIJI CHA MKONGO NAKAWALE

Naibu Waziri wa Maji Mh. Amos Makalla akisalimiana na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo, kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Bi. Agnes Hokororo.

Naibu Waziri wa Maji, Mh Amos Makalla amefanya ziara ya kikazi wilaya ya Namtumbo pamoja na mambo mengine amezindua mradi mkubwa Maji kijiji cha Mkongo Nakawale ambao watu zaidi ya 4000 wanapata Maji safi.

Aidha amekagua mradi wa Maji Milonji na ametoa agizo hadi kufikia tarehe 12 mei mwaka huu mkandarasi awe amekamilisha kuchimba...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Warioba azindua kitabu cha Dk. Mvungi

KATIKA maadhimisho hayo ya 19 ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Jaji Warioba alipewa heshima ya kuzindua kitabu knachohusu maisha na kazi za kisheria alizopata kuzifanya na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani