Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Naimba vizuri lakini nashangaa sifanikiwi — PNC

PNC anashangaa kuona kuwa anapokea sifa kibao kuwa anaimba vizuri lakini haelewi kwanini hafanikiwi kimuziki. Muimbaji huyo amesema kuwa hilo ni swali analoulizwa kila siku lakini anakosa majibu. “Hata mimi mwenyewe sijui tatizo ni nini,” PNC alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio. “Mimi nataka niwaambie kitu kimoja, kama wanavyoniuliza; mimi naimba muziki mzuri […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Mwema

Msuya: Nashangaa hivi Sumaye anafikiri!

Kuelekea Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2015, Livingstone Luhere, amefanya mahojiano na waziri mkuu msitaa

Livingstone Ruhere

 

10 years ago

Bongo5

Dully Sykes: Sishangai ugomvi wa Alikiba na Diamond, nashangaa wa TID na Q Chillah

Dully Sykes amedai kushangazwa kusikia watu wazima kama TID na Q Chillah wakilumbana kwa jambo la miaka mingi iliyopita na kwamba mambo kama hayo wanapaswa kuwaachia wadogo zao mathalan Alikiba na Diamond. Dully ameiambia Bongo5 kuwa TID na Q wamemfedhehesha. “Hawa ni watu wazima,” amesema Dully. “Mimi kama kuwazungumzia ninawazungumzia Diamond na Alikiba. Hawa ni […]

 

9 years ago

Bongo5

Music: PNC – Usinisurubu

PNC 2

Msanii wa bongo fleva PNC ameachia wimbo mpya unaitwa “Usinisurubu”, Producer Zest

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo5

Music: PNC — Walewale

Wimbo mpya wa msanii PNV unaitwa “Walewale” Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

GPL

PNC ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE

Msanii wa Bongo Fleva, Pancras Ndaki 'PNC' akiwa katika pozi kabla ya kufanya mahojiano na Global TV Online. PNC akiongea jambo.…

 

10 years ago

Bongo5

PNC afungua duka la nguo Mburahati

PNC amedai kuwa licha ya kufanya muziki, pia ni mfanyabiashara ambapo amefungua duka la nguo linalopatikana maeneo ya Mburahati jijini Dar es Salaam. Akizungumza leo kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Radio wakati akitambulisha wimbo wake mpya, PNC alisema ameshirikiana na rafiki yake kuanzisha duka hilo. “Hii biashara ni ya kwetu mimi na rafiki […]

 

10 years ago

Vijimambo

PNC SHINO Yule yule 2015 Tanzanian Music Official video


Singer Name:- Pnc
 Song Name:- Yule Yule
Country;- Tanzania
Genre;- Bongo Flavour
Director:- Saimako

 

10 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani