PNC afungua duka la nguo Mburahati
PNC amedai kuwa licha ya kufanya muziki, pia ni mfanyabiashara ambapo amefungua duka la nguo linalopatikana maeneo ya Mburahati jijini Dar es Salaam. Akizungumza leo kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Radio wakati akitambulisha wimbo wake mpya, PNC alisema ameshirikiana na rafiki yake kuanzisha duka hilo. “Hii biashara ni ya kwetu mimi na rafiki […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
OPESHENI YA DUKA KWA DUKA YAANZA PWANI KUBAINI WAFICHA NA KUUZA SUKARI BEI JUU-WANKYO

JESHI la polisi mkoani Pwani limetangaza msako wa duka kwa duka ,kuwabaini wafanyabiashara ambao wameficha sukari na kuuza kwa bei isiyo elekezi ya sh .2,700 kwa kilo moja ,ambapo ni kinyume cha sheria .
Kutokana na msako huo ulioanza mkoani hapo ,jeshi hilo ,limeshakamata jumla ya kilo 1,037 za sukari pamoja na watuhumiwa saba wanaodaiwa ni wafanyabiashara walioficha sukari hiyo.
Akizungumzia tukio hilo ,kamanda wa polisi mkoani hapo ,Wankyo Nyigesa alieleza kuwa...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
Ngumi Mburahati waomba uwekezaji
SERIKALI na wadau wa michezo hususan ngumi, wametakiwa kuwekeza katika mchezo huo ili kuleta mageuzi ya kweli kwa manufaa ya vijana wenye vipaji na taifa. Akizungumza jijini Dar es Salaam...
10 years ago
GPLSHAMRASHAMRA ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA MBURAHATI
9 years ago
Bongo518 Dec
Music: PNC – Usinisurubu

Msanii wa bongo fleva PNC ameachia wimbo mpya unaitwa “Usinisurubu”, Producer Zest
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo501 Sep
Music: PNC — Walewale
10 years ago
GPLPNC ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE
9 years ago
Bongo528 Aug
Naimba vizuri lakini nashangaa sifanikiwi — PNC
10 years ago
GPL13 May
11 years ago
MichuziYALIYOJIRI KWENYE ONYESHO LA MUZIKI WA SAMBA REGGE NA SAKARASI LILILOFAYIKA MBURAHATI KWA JONGO