Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YALIYOJIRI KWENYE ONYESHO LA MUZIKI WA SAMBA REGGE NA SAKARASI LILILOFAYIKA MBURAHATI KWA JONGO

Baadhi ya Watoto wakionyesha ujuzi wa kucheza sarakasi kwenye uwanja wa Kasulu, Mburahati kwa Jongo wakati wa onyesho la kuhitimisha warsha ya sarakasi na ngoma za samba regge iliyoandaiwa na kituo cha Baba Watoto kupitia mradi wa Fit For Life.Ngoma za samba regge kutoka Brasili zikichezwa kwenye uwanja wa Kasulu, Mburahati kwa Jongo Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Godfrey Mngereza akitoa hatuba yake kwa wananchi na wapenzi wa muziki na sarakasi waliofika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Warsha ya muziki wa Samba Regge na Sarakasi kuhitimishwa kesho kwenye Uwanja wa Kasulu, Mburahati kwa Jongo

unnamed

Mkufunzi wa Ngoma za Samba regge, Manni Spaniol akimwelekeza mmoja wa watoto wanaoshiriki warsha ya fit for life iliyoandaliwa na kituo cha Baba watoto cha Mburahati kwa Jongo, Jijini Dar es Salaam.

unnamed (1)

Mkufunzi wa ndani, Mwajabu Omari akimwelekeza namna ya kufanya sarakasi mmoja wa watoto wanaoshirika kwenye warsha ya sarakasi na ngomba za samba regge iliyoandaiwa na kituo cha Baba Watoto.

unnamed (2)

Mafunzo ya Sarakasi.

unnamed (3)

unnamed (4)

unnamed (5)

Wanafunzi na wakufunzi wakifanya mazoezi ya kujiandaa na onyesho la muziki wa...

 

10 years ago

Michuzi

Eric Omondi alivyovunja mbavu za mashabiki kwenye onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015

Mchekeshaji Eric Omondi kutoka Kenya akifanya manjonjo yake wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015 lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res SalaamMshairi Neema Komba, kutoka La poetista akifannya ushairi wake wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015, lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res SalaamGrace Matata, akitumbuiza wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015, lililofanyika siku...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA: ERIC OMONDI ALIVYOVUNJA MBAVU ZA MASHABIKI KWENYE ONYESHO LA EAST AFRICA VIBES CONCERT (EAVC) 2015

Mchekeshaji Eric Omondi kutoka Kenya akifanya manjonjo yake wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015 lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res Salaam.Picha zote na Pamoja BlogMshairi Neema Komba, kutoka La poetista akifannya ushairi wake wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert (EAVC) 2015, lililofanyika siku ya Jumamosi pale Nafasi Art Space, jijini Da res SalaamGrace Matata, akitumbuiza wakati wa onyesho la East Africa Vibes Concert...

 

10 years ago

Vijimambo

YALIYOJIRI KWENYE MKUTANO WA ZITTO KABWE MKOANI TABORA

 Zitto akionyesha nguo za chama za Mwenyekiti wa Wazee wa CCM Wilaya ya Urambo Bakari Humbe, aliyeamua kuhama Chama Cha Mapinduzi. (Picha na Said Powa)Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe, akiwahutubia wakazi wa mji wa Urambo Mkoani Tabora huku akinyeshewa mvua majira ya mchana jana, ambapo chama hicho kinaendelea na ziara ya kusaka uungwaji mkono na wananchi. Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe, akiwahutubia wakazi wa mji wa Tabora kwenye viwanja vya Shule ya...

 

10 years ago

Vijimambo

YALIYOJIRI KWENYE MECHI KATI YA SIMBA NA MGAMBO SHOOTING

 Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akipokea mpira kutoka kwa mwamuzi, Jacob Odongo kutoka Mkoa wa Mara baada ya kufunga 'hat trick' katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Mgambo Shooting mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa.(Picha na Francis Dande) Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akimtoka beki wa Mgambo Shooting, Bashiru Chanache katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanya wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda 4-0.

 

11 years ago

GPL

YALIYOJIRI KWENYE MAZISHI YA BABA WA MBUNGE MARTHA MLATA JANA

Mbunge Martha Mlata akifarijiwa na waliohudhuria mazishi ya baba yake mzazi. Kushoto ni Katibu Mwenezi wa Chama cha Muziki wa Injili Tanzania ‘CHAMUITA,’ Stella Joel na mwakilishi wa wasanii wa filamu, Dokii. Baadhi ya wabunge na ndugu wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya kaburi la baba mzazi wa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida ambaye pia… ...

 

9 years ago

Vijimambo

PICHA: YALIYOJIRI KWENYE MKUTANO WA UKAWA MKOANI MBEYA LEO

  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa  akiongea na wananchi wa mkoani Mbeya leo alipokuwa ajitambulishwa kama mgombea wa UKAWA. Umati wa watu wakiwemo wafuasi wa vyama vya Siasa vinavyounda UKAWA ukiwa umefurika 
Endelea kutufuatilia kwa matukio zaidi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani