Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nampenda sana boyfriend wa rafiki yangu.


MSAIDIENI HUYU MSICHANA:Pole na kazi Mpekuzi, Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22, nina rafiki yangu ambaye nimesoma naye na ni kama ndugu yangu wa damu kutokana na tulivyo na watu wote wanajua kwamba mimi ni yeye na yeye ni mimi.Rafiki yangu huyu nimesoma naye kuanzia O-leve, mpaka advance na sasa tupo wote chuo hapa dar es salaam, kwa kifupu ni urafiki wa damu.
Mwaka jana katikati rafiki yangu huyu alinitambulisha kwa boyfriend wake ambaye ni kaka anayesoma chuo kingine ambacho hakiko...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Lulu: Nampenda Wema kama dada yangu

lulu_instagramNA THERESIA GASPER

KAMA unafikiri kuna ugonvi kati ya waigizaji maarufu nchini, Elizabeth Michael, ‘Lulu’ na Wema Sepetu, utakuwa umekosea, kwani hakuna ugomvi kati yao.

Lulu alieleza kwamba wamekuwa wakishirikiana na Wema Sepetu katika mambo mbalimbali, ikiwemo sherehe, misiba na mijumuiko mbalimbali.

“Nampenda Wema kama dada yangu na yeye ananipenda vile vile, nimekuwa nikihudhuria kwenye shughuli mbali mbali ambazo zinamhusu, nilishiriki vema katika msiba wa baba yake na sherehe zake...

 

10 years ago

Bongo5

Nampenda sana Wema ila bado ana chuki na mimi — Kajala

Kajala Masanja amesema hadhani kama ni rahisi kuwa karibu tena na Wema Sepetu baada ya kugombana. Kajala amekiambia kipindi cha The Sporah Show hivi karibuni kuwa bado anampenda Wema na kumheshimu. “Mimi simchukii Wema, mimi nampenda Wema, kusema ningependa kurudisha urafiki na Wema inakuwa ngumu sana, kwa sababu yeye tayari anachuki na sijui ana chuki […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Kajala: Nampenda Sana Wema Ila Bado Ana Chuki na Mimi

Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja amesema hadhani kama ni rahisi kuwa karibu tena na staa mwenzake Wema Sepetu baada ya kugombana.

Kajala amekiambia kipindi cha The Sporah Show hivi karibuni kuwa bado anampenda Wema na kumheshimu.

“Mimi simchukii Wema, mimi nampenda Wema, kusema ningependa kurudisha urafiki na Wema inakuwa ngumu sana, kwa sababu yeye tayari anachuki na sijui ana chuki kiasi gani? Mimi nataka kusema ni mtu ambaye nampenda na nakaaga nasema namheshimu, ni mtu ambaye...

 

10 years ago

Bongo5

Amber Rose: Nampenda, nammiss sana mume wangu (Wiz Khalifa)

Mwanamitindo, Amber Rose amekiri kuwa bado anampenda mume wake Wiz Khalifa licha ya kwamba wameachana. “Inaumiza,” Rose alijibu baada ya kuulizwa kuhusu anavyokabiliana na talaka. “Mimi ni binadamu, unajua? Nipo kwenye talaka. Nampenda mume wangu, nammiss sana na mambo mabaya hutokea.” Amber alimshutumu Wiz kuwa alisaliti ndoa yao.

 

9 years ago

Bongo5

Flora Mbasha afuta kesi ya talaka dhidi ya mumewe, ‘bado nampenda sana mume wangu’

Ndoa ya Flora Mbasha na mume wake Emmanuel Mbasha bado ipo hai baada ya wawili hao kukubali kuifuta kesi ya talaka iliyodumu kwa takriban mwaka mmoja. Flora ndiye aliyefungua kesi hiyo baada ya kutokea mgogoro kwenye ndoa yao iliyosababishwa na kesi ya kudaiwa kubaka aliyoshtakiwa mumewe. Hata hivyo Emmanuel hivi karibuni alikuwa mtu huru baada […]

 

11 years ago

Mwananchi

Mchumba wangu anatoka na rafiki yangu

Shangazi ukweli nashindwa hata pa kuanzia. Ni hivi. Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26.

 

9 years ago

Raia Mwema

Kwaheri rafiki yangu Christopher Mtikila

NILIANZA kuwa mwandishi wa habari miaka 13 iliyopita na bado nakumbuka wanasiasa wawili wa mwanzo

Ezekiel Kamwaga

 

10 years ago

GPL

MUME WANGU SIKUMUIBA KWA RAFIKI YANGU- VANITHA

Wiki hii kupitia safu hii tunaye staa wa filamu za Kibongo Vanitha Omary. Amebanwa maswali mengi na mwandishi wetu Hamida Hassan lakini kutokana na jina la kolamu hii, tunakuletea maswali 10 ‘hot’ aliyoulizwa na yeye kutoa ushirikiano katika kuyajibu licha ya kwamba aliachwa kijasho chembamba kikimtoka. Staa wa filamu za Kibongo Vanitha Omary. Ijumaa: Kuna hizi tetesi kwamba huyu mume wako wa sasa alikuwa ni mpenzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani