Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Namtaka mwenye mapenzi ya kweli

Shikamoo shangazi mkubwa. Natamani kuwa na mpenzi lakini sioni mwenye mapenzi ya kweli. Nifanyeje ili niweze kujua nani mkweli na nani mwongo?

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mwenye malengo ya kweli maishani atapangilia utendaji wa kazi zake

Swali: Nimekuwa nikivutiwa na mada zako. Mimi nimekuwa nikitamani kuwa mfanyabiashara mkubwa lakini nina tatizo la kutekeleza yale niliyopanga. Mara nyingi hupanguka kutokana na matatizo mengine. Naomba kujua nitumie mbinu gani ili kuwa na mafanikio? Mimi Geofrey Jafar ni mfanyabiashara mkoani Mbeya.

 

10 years ago

GPL

PESA MBWEMBWE TU, MAPENZI YA KWELI YAPO

UZOEFU katika maisha ni jambo zuri sana kwa sababu unakusaidia kwa mambo mengi, hasa unapojikuta katika nyakati ngumu. Mara nyingi unapojikuta ndani ya nyumba yako hakuna chakula, unafahamu mara ya mwisho ulipokutana na hali kama hiyo ulifanya nini! Katika maisha ya kindoa na uhusiano wa kimapenzi, siku hizi kumekuwa na misemo mingi inayomaanisha kuwa fedha ni kitu cha msingi sana unapozungumzia kuhusu msichana kuishi kinyumba na...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Hizi ndizo hisia tata za mapenzi ya kweli

KATIKA suala la uhusiano wa kimapenzi, hapana shaka mpenzi mwenye kumpenda mpendwa wake kwa dhati hisia zake za kimapenzi huwa tofauti sana na yule mwenye mapenzi ya ulaghai.

Mpenzi mwenye mapenzi ya kweli hisia zake hugusa kutoka ndani ya moyo wake, ambapo wakati mwingine si rahisi hata pale mmoja anapojaribu kumshauri au kumshawishi kuhusu jambo fulani baya juu ya ampendaye akaweza kuelewa.

Mpenzi wa namna hii huwa kama mjinga ambaye ukimtishia nyau au bastola ya watoto atoe pesa...

 

10 years ago

Bongo Movies

VIJIMAMBO: Hakuna Mapenzi ya Kweli Bila Wivu-Wolper

Mwigizaji  Jackline Massawe “Wolper” akiwa amepozi namna hiyo huku akionekana yupo 4GB ametupia mtandaoni  ujumbe huu.

“There is no true love without JEALOUSY…Blessed…bby upo peke yakoooooo…love”

Bila shaka huu ujumbe kamtumia mpenzi wake…Lakini hata mimi nawewe unatugusa.....yanaukweli wowote maneno haya?

 

10 years ago

Bongo5

Linah: Sijawahi kupata mapenzi ya kweli toka nimeyajua (Audio)

Linah amekiri kuwa tangu ayajue mapenzi, hajawahi kumpata mwanaume aliyempa mapenzi ya kweli. Akiongea kwenye kipindi cha Funiko Base cha Radio 5, Linah ambaye hivi karibuni aliachia ngoma mpya ‘Hello’ aliyoshirikiana na Christian Bella amedai kuwa ndio maana amekuwa akiimba ujumbe kama huo kwenye nyimbo zake. “Lakini sasa hivi nimepata mapenzi ya kweli,” amesema. “Sijawahi […]

 

10 years ago

GPL

NI VYA KIPUUZI KWELI LAKINI VINA MAANA KUBWA KWENYE MAPENZI-2

NI wiki nyingine tena mpenzi msomaji tunakutana katika safu hii ambapo tunaendelea na mada hii ambayo tuliianza wiki iliyopita, songa nayo ujifunze mengi. MSIFIE PALE ANAPOPENDEZA
Hakuna kitu kizuri kama kumwambia mpenzi wako ‘umependeza’ pale anapokuwa amependeza. Kauli hiyo itamfanya ajione thamani yake. Itamfanya ajue kwamba ili uweze kumwambia amependeza, anatakiwa avae mavazi ya aina gani. Asikwambie mtu,...

 

10 years ago

GPL

NI VYA KIPUUZI KWELI LAKINI VINA MAANA KUBWA KWENYE MAPENZI

NI Jumamosi nyingine mpenzi msomaji wa Love Story tunakutana katika uwanja wetu wa kuzungumza masuala mbalimbali yahusuyo maisha ya uhusiano.Niwashukuru wote ambao mnaendelea kutuma ujumbe mfupi wa maandishi kuonesha mnanufaika na kile ambacho tunakijadili hapa kila Jumamosi. Mada ya leo hapo juu inajieleza. Kwenye maisha ya uhusiano wengi wetu tunafanya makosa kwa wapenzi wetu pasipo kujua kama tunawakosea.Binadamu tulivyoumbwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Alan Oliveira: Namtaka Oscar Pistorius

Mwanariadha mwenye ulemavu Alan Oliveira raia wa Brazili amesema anataka kumuona Oscar Pistorius michezoni

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani