Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nani anafaa kumrithi Heche BAVICHA?

NIKIWA kijana ninayeamini katika siasa za mabadiliko, najiona nina wajibu na kila sababu ya kutoa maoni na ushauri wangu kwa viongozi wa Baraza la Vijana Taifa wa Chama cha Demokrasia...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

DOGO JEMBE AHOJI NANI ANAFAA KUWA RAIS

TANGU  mgombea mwenye umri mdogo zaidi kutangaza nia ya kutaka kuwa rais wa Tanzania, Dogo Jembe amejikuta akipambana na upinzani mkali toka kwa wananchi wengi hasa watumiaji wa mitandao ya kijamii ambao wengi wamekuwa wakimtaka arudi shule huku wengine wakimshambulia kuwa anatumiwa na mmoja ya wanasiasa.
Mara baada ya kuzongwa na waandishi wa habari waliomuuliza anachukuliaje maoni ya wananchi kuhusu nia yake ya kuutaka urais amelazimika kuitisha mkutano na waandishi wa habari ambapo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Nani anafaa kuhakikisha watoto wanakula vyakula vya afya?

Kampuni kubwa ya chakula ya Unilever imeapa kuacha kuuza bidhaa zake kwa watoto ili kukabiliana na idadi kubwa ya viwango vya unene wa kupita kiasi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nani kushinda vita ya BAVICHA?

Kesho tutashuhudia mtanange wa wagombea katika nafasi mbalimbali za uongozi katika Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA). Wiki iliyopita kulikuwa na orodha na wasifu baadhi ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lissu, Heche washupalia ujangili

MWANASHERIA Mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu, amedai kwamba kitendo cha serikali ya Rais Jakaya Kikwete kutumia majeshi ya ulinzi kufanya operesheni za kiraia kilikuwa ni uvunjifu wa Katiba na ni...

 

10 years ago

Daily News

Matiko, Heche for two separate constituencies


Matiko, Heche for two separate constituencies
Daily News
THE opposition Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) has nominated its outgoing Special Seats Member of Parliament (MP), Ms Esther Matiko, to contest for the new Tarime Urban constituency in the upcoming general elections due to be held ...

 

11 years ago

Mwananchi

Heche: Najipanga kugombea Ubunge Tarime

Septemba 10 mwaka huu, Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha) litafanya uchaguzi  wa viongozi wa baraza hilo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Heche asema CCM imefika mwisho

MWENYEKITI wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Taifa, John Heche amewataka Watanzania kukichukulia kitendo cha Rais Jakaya Kikwete kulazimika kuwaacha kwenye baraza lake, mawaziri ambao walitajwa na chama chake...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwigulu afunguka kwanini anafaa

Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amebainisha sababu nne zinazowafanya wananchi wampendekeze kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani