DOGO JEMBE AHOJI NANI ANAFAA KUWA RAIS
![](http://img.youtube.com/vi/3KqWkMlNGoM/default.jpg)
TANGU mgombea mwenye umri mdogo zaidi kutangaza nia ya kutaka kuwa rais wa Tanzania, Dogo Jembe amejikuta akipambana na upinzani mkali toka kwa wananchi wengi hasa watumiaji wa mitandao ya kijamii ambao wengi wamekuwa wakimtaka arudi shule huku wengine wakimshambulia kuwa anatumiwa na mmoja ya wanasiasa.
Mara baada ya kuzongwa na waandishi wa habari waliomuuliza anachukuliaje maoni ya wananchi kuhusu nia yake ya kuutaka urais amelazimika kuitisha mkutano na waandishi wa habari ambapo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania09 Oct
Dk. Slaa: Magufuli anafaa kuwa rais
Na Khamis Mkotya, Dar
ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbrod Slaa, amempigia debe mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, akisema kuwa anafaa kuwa rais wa awamu ya tano.
Dk. Slaa amedhihirisha hisia zake hizo juzi usiku wakati akihojiwa katika kipindi maalumu kilichoandaliwa na kurushwa na Kituo cha Televisheni cha Star TV.
Dk. Slaa ambaye alizungumzia masuala mbalimbali, alisema anamuunga mkono Dk. Magufuli kwa kuwa ni...
9 years ago
Habarileo13 Oct
Pinda: Magufuli anafaa kuwa rais, mchagueni
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (CC-CCM) ambaye pia ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho (NEC), Mizengo Pinda amewaomba wananchi wamchague John Magufuli kwa kuwa ndiye anayefaa.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cGEsfZahF3v6LzW0UOPSx92DfQ0ScrpqMsIVoFBStF0khHgPv3e9PGnIkS2T8a0uf5yQdeV8IGpaoIUWc2HCHgj69fxmg*lD/r.jpg)
LOWASSA ANAFAA AU HAFAI KUWA RAIS 2015?
10 years ago
Bongo531 Aug
Lady Jaydee ajibu habari ya gazeti la udaku kuwa na uhusiano na ‘Dogo Dogo’
10 years ago
Tanzania Daima28 Aug
Nani anafaa kumrithi Heche BAVICHA?
NIKIWA kijana ninayeamini katika siasa za mabadiliko, najiona nina wajibu na kila sababu ya kutoa maoni na ushauri wangu kwa viongozi wa Baraza la Vijana Taifa wa Chama cha Demokrasia...
10 years ago
Dewji Blog26 Jun
Hatimaye Dogo Jembe achukua fomu ya Urais
Mgombea mwenye umri mdogo zaidi amejitokeza kuchukua fomu za kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ameahidi kuelezea sera zake katika mkutano na waandishi wa habari utakaofanyika leo.
10 years ago
Dewji Blog30 Jun
Dogo Jembe azungumzia mikakati wa rasilimali na afya
Yule mgombea mwenye umri mdogo zaidi ambaye siku za karibuni amejizolea umaarufu mkubwa kwenye mitandao ya kijamii tangu achukue fomu ameanza kumwaga sera zake ambapo leo anazungumzia kuhusu ambavyo Watanzania wanatakiwa wafaidike na rasimali pia mipango ya kuboresha huduma za afya.
10 years ago
GPL26 Jun
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Nani anafaa kuhakikisha watoto wanakula vyakula vya afya?