Dk. Slaa: Magufuli anafaa kuwa rais
Na Khamis Mkotya, Dar
ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbrod Slaa, amempigia debe mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, akisema kuwa anafaa kuwa rais wa awamu ya tano.
Dk. Slaa amedhihirisha hisia zake hizo juzi usiku wakati akihojiwa katika kipindi maalumu kilichoandaliwa na kurushwa na Kituo cha Televisheni cha Star TV.
Dk. Slaa ambaye alizungumzia masuala mbalimbali, alisema anamuunga mkono Dk. Magufuli kwa kuwa ni...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo13 Oct
Pinda: Magufuli anafaa kuwa rais, mchagueni
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (CC-CCM) ambaye pia ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho (NEC), Mizengo Pinda amewaomba wananchi wamchague John Magufuli kwa kuwa ndiye anayefaa.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar08 Oct
Dr. Slaa Aanza Rasmi Kumpigia Kampeni Magufuli……Asema Lowassa Hafai Kuwa Rais
Thursday, October 8, 2015 Siku chache baada ya chama cha ACT-Wazalendo kutoa tamko rasmi kuwa hawataweza kumruhusu Dk. Wilbroad Slaa kupanda kwenye jukwaa lao kumnadi mgombea urais wa chama hicho kwa sababu za kiusalama, jana mwanasiasa […]
The post Dr. Slaa Aanza Rasmi Kumpigia Kampeni Magufuli……Asema Lowassa Hafai Kuwa Rais appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cGEsfZahF3v6LzW0UOPSx92DfQ0ScrpqMsIVoFBStF0khHgPv3e9PGnIkS2T8a0uf5yQdeV8IGpaoIUWc2HCHgj69fxmg*lD/r.jpg)
LOWASSA ANAFAA AU HAFAI KUWA RAIS 2015?
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/3KqWkMlNGoM/default.jpg)
DOGO JEMBE AHOJI NANI ANAFAA KUWA RAIS
Mara baada ya kuzongwa na waandishi wa habari waliomuuliza anachukuliaje maoni ya wananchi kuhusu nia yake ya kuutaka urais amelazimika kuitisha mkutano na waandishi wa habari ambapo...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-dYLrpk-c-H8/VaUKqktO8JI/AAAAAAAAAOE/tuhgf3-m-EY/s72-c/9.jpg)
Dr. Wilibrod Slaa amesema kuwa akiwa Rais wa Tanzania atamfunga Dr. John Magufuli kwa sababu alisimamia mchakato wa uuzwaji wa nyumba za Serikali kwa bei ya kutupwa
![](http://3.bp.blogspot.com/-dYLrpk-c-H8/VaUKqktO8JI/AAAAAAAAAOE/tuhgf3-m-EY/s640/9.jpg)
Dr. Wilibrod Slaa amesema kuwa akiwa Rais wa Tanzania atamfunga Dr. John Magufuli kwa sababu alisimamia mchakato wa uuzwaji wa nyumba za Serikali kwa bei ya kutupwaDr. Slaa akihojiwa na Radio five ya Arusha jioni hii nini maoni yake kuhusu uteuzi wa Magufuli kuwania Urais.
Ameongelea mengi lakini amesema iwapo UKAWA wakimpa nafasi na Watanzania wakampa kura za kutosha kushinda Urais atamtia Magufuri ndani ili kujibu tuhuma za uuzwaji wa Nyumba kwa bei ya kutupa.
Chanzo: Radio five,...
9 years ago
Habarileo09 Oct
Slaa: Rais wangu ni Dk Magufuli
KATIBU Mkuu wa zamani wa Chadema, Dk Willibrod Slaa amesema anamkubali kwa asilimia 90 mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli akisema anafaa kwa nafasi hiyo kwa kuwa ni jasiri na ana uwezo wa kupambana na ufisadi.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/AlF29i7dC3KDwQMeV6Co*qHbNpB0CLklwFEbmFztUHE5ik*xESCxnPnJRQlWTfbFyGpR2fLdnfrsZOHcnGdGfLqhji1fRZ-V/a.jpg)
MNYWAJI WA POMBE ANAFAA KUWA MUMEO?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tlB4pKQX5mivRXkeln2W6IRQ8Gy6LJDnyRh4Ngq09mMusDyx8GRS7bqRgfia*zFYzdv-5SmdZNAPIcHnJLqGNa19b-nKPxNe/antiwema.jpg)
AUNT: WEMA ANAFAA KUWA MKE