Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MNYWAJI WA POMBE ANAFAA KUWA MUMEO?

NI matumaini yangu wasomaji wa safu hii mko vizuri na mpo tayari kupokea mada mpya ambayo nimewaandalia. Namshukuru Mungu kwa kunipa afya, tuweze kujadili kwa pamoja mada iliyopo mezani. Mada inajieleza hapo juu, kutokana na visa na uzoefu mbalimbali waliopitia, wanawake wamekuwa na mtazamo tofauti juu ya wanaume ambao wanatumia kilevi.Wapo wanaoamini kwamba mwanaume ambaye anatumia kilevi hafai kuwa mume lakini wapo wengine...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AUNT: WEMA ANAFAA KUWA MKE

Stori: Imelda Mtema
FAGIO! Mkali wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amemmwagia sifa shosti yake Wema Sepetu na kudai anafaa kuwa mke kama alivyo yeye. Mkali wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel akiwa na shosti wake Wema Sepetu. Akimmwagia sifa mbele ya kinasa sauti chetu, Aunt alisema Wema anajua mapenzi ya dhati, anajali, mcheshi na anajua maisha tofauti na watu wengi wanavyofikiria.… ...

 

9 years ago

Mtanzania

Dk. Slaa: Magufuli anafaa kuwa rais

Dr-Slaa-4Na Khamis Mkotya, Dar

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbrod Slaa, amempigia debe mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, akisema kuwa anafaa kuwa rais wa awamu ya tano.

Dk. Slaa amedhihirisha hisia zake hizo juzi usiku wakati akihojiwa katika kipindi maalumu kilichoandaliwa na kurushwa na Kituo cha Televisheni cha Star TV.

Dk. Slaa ambaye alizungumzia masuala mbalimbali, alisema anamuunga mkono Dk. Magufuli kwa kuwa ni...

 

11 years ago

GPL

ALI KIBA: LULU ANAFAA KUWA MKE

Stori: Erick Evarist na Sifael Paul HII ni exclusive! Kwa mara ya kwanza, staa anayeitikisa nchi kwa sasa na wimbo wake wa Mwana, Ali Kiba amefunguka kuwa mwigizaji kiwango Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ anafaa kuwa mke (wife material) huku akiweka wazi sifa kibao alizonazo, Wikienda liko bize kukujuza. Staa anayeitikisa nchi kwa sasa na wimbo wake wa Mwana, Ali Kiba ndani ya ofisi za global. Kiba ambaye...

 

9 years ago

Habarileo

Pinda: Magufuli anafaa kuwa rais, mchagueni

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (CC-CCM) ambaye pia ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho (NEC), Mizengo Pinda amewaomba wananchi wamchague John Magufuli kwa kuwa ndiye anayefaa.

 

10 years ago

GPL

LOWASSA ANAFAA AU HAFAI KUWA RAIS 2015?

UKITAJA jina la Edward Ngoyayi Lowassa utakuwa unamzungumzia Mbunge wa Jimbo la Monduli mkoani Arusha tangu mwaka 1990 na Waziri Mkuu Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, aliyezaliwa  Agosti 26, 1953. Waziri Mkuu Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, aliyezaliwa  Agosti 26, 1953 Mheshimiwa Lowassa. Mheshimiwa Lowassa amesoma elimu yake ya msingi katika shule ya Monduli na baadaye Sekondari Arusha (Ilboru) na Milambo mkoani...

 

10 years ago

Mtanzania

Samia anafaa kuwa mgombea mwenza — Pinda

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amempigia ‘debe’ Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samia Suluhu Hassan, kuwa ni mwanamke shupavu anayeweza kuwa mgombea mwenza katika Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka  2015.

Akizungumza bungeni mjini Dodoma jana wakati wa kutoa shukrani, Pinda alisema Samia amepewa sifa kubwa kutokana na kazi nzuri aliyofanya ya kuliongoza Bunge hilo kwa uadilifu.

“Makamu mwenyekiti leo umepewa sifa kubwa, nimeambiwa...

 

10 years ago

Michuzi

DOGO JEMBE AHOJI NANI ANAFAA KUWA RAIS

TANGU  mgombea mwenye umri mdogo zaidi kutangaza nia ya kutaka kuwa rais wa Tanzania, Dogo Jembe amejikuta akipambana na upinzani mkali toka kwa wananchi wengi hasa watumiaji wa mitandao ya kijamii ambao wengi wamekuwa wakimtaka arudi shule huku wengine wakimshambulia kuwa anatumiwa na mmoja ya wanasiasa.
Mara baada ya kuzongwa na waandishi wa habari waliomuuliza anachukuliaje maoni ya wananchi kuhusu nia yake ya kuutaka urais amelazimika kuitisha mkutano na waandishi wa habari ambapo...

 

9 years ago

GPL

MAMBO MA-5 YA KUMTESTI MPENZI KAMA ANAFAA KUWA MKE!

Niwiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiamini kwamba umzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida.Leo mpenzi msomaji wangu nitazungumzia mambo ambayo mwanaume anaweza kuyafanya katika kubaini kama mwanamke aliyenaye anafaa kuwa mke au amuweke pembeni atafute mtu mwingine. Nimeamua kuandika makala haya nikiamini kwamba, si kila unayeingia naye kwenye uhusiano anafaa kuwa mkeo. Wengine...

 

9 years ago

Bongo5

Kocha wa Man United, Louis Van Gaal anaamini Chris Smalling anafaa kuwa nahodha

Kocha wa Manchester United, Louis Van Gaal amemtaja mlinzi wa kati wa timu yake, Chris Smalling kuwa baadaye anaweza kuja kuwa nahodha baada ya Rooney na Carrick kumaliza. Van Gaal ameyasema hayo huku zikiwa zimebakia siku kadhaa tu kuelekea mchezo wa ‘Manchester Derby’ kati ya Manchester United na Manchester City Jumapili hii. Hadi sasa Smalling […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani